Nyumba za Anne Semamba Makinda zinapigwa mnada!

Nyumba za Anne Semamba Makinda zinapigwa mnada!

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Salaam Wakuu,

Kamishna wa Sensa Kitaifa Bi. Anne Makinda ambaye alitumikia Taifa katika nafasi mbalimbali za uongozi kwa takribani miaka arobaini, akianza kama Waziri wa Shughuli za Bunge, Mwenyekiti wa Bunge, Naibu Spika na hatimaye Spika wa Bunge, Nyumba zake zinapigwa Mnada.

Nyumba inayopigwa mnada ni iliyopo Mikocheni na ile ya Arusha.

Je, kwanini Serikali isimsaidie nyumba zake zisipigwe mnada?

Je, nini Kimemsibu Mama yetu huyu?
20220111_130212.jpg
 
Binafsi siwezi kutoa machozi yangu kwa muanzilishi wa vita ya chuki kwa watamzania kisa siasa na itikadi.

Mwache aonyeshwe kuwa unapokuwa mtumishi wa umma usiwe na upendeleo wa kiitikadi.
 
Back
Top Bottom