KAKA NASOKI
Senior Member
- May 25, 2016
- 191
- 212
Sikuhizi makanisa yamegeuza muelekeo, hakuna tena maendeleo ya kiroho bali maendeleo ya Parkia, Usharika au kanisa na mahekalu. Mahubiri yamejikita katika michango ya mara ujenzi, ununuzi wa vifaa, kumchangia kiongozi, michango ya lazima kila siku. Nauliza zile sadaka za ujenzi, fungu la kumi ambazo ni nje ya sadaka za kawaida, zinaenda wapi?
Hatufundishwi namna ya kusali na kwenda mbinguni, bali kutoa ubarikiwe. Sasa ukibarikiwa ndio umesamehewa dhambi au ni uhakika wa kwenda mbinguni? Unaambiwa fulani katoa sasa hivi amepata baraka ya kuwa na nyumba/gari nk.
Nasikia KKKT wanashindanisha sharika na jumuia kwa sadaka, hata zile Sharika zenye sadaka nyingi hapelekwi Mchungaji amabaye sio chaguo la Askofu.
MUNGU TUSAIDIE.