Nyumba za kuishi zinazojengwa na wasomi wa siku hizi zinafikirisha

Nyumba za kuishi zinazojengwa na wasomi wa siku hizi zinafikirisha

Mimi nilishasema sitakuja kujenga nyumba. Kuna nyumba nyingi sana zimeshajengwa sihitaji kuendelea kuharibu mazingira kwa kujenga nyingine.

Mimi nitaishi kwenye nyumba zilizokwisha jengwa na wengine na hela yangu nitafanyia mambo mengine.
Utanunua au utakuwa mpangaji maisha yako yote?
 
Warren hana nyumba? ANAYO
Anakaa kwenye nyumba ya nani? YAKWAKE
Hiyo nyumba aliyopanga si analipishwa kodi? HAJAPANGA
 
Bora ungetengua kauli zako tu mkuu maana hakuna anayekuunga mkono mpaka sasa labda mmoja tu...

Halafu jibu swali la mdau hapo juu kisha urudi tena... majumba ya zamani (mabangaloo) na majumba ya sikuhizi (kisasa) ni yapi mazuri?
 
Siku hizi hakuna wajukuu au mashangazi wanaojazana kwenye nyumba..alafu kumbukeni wasomi wengi wa zamani walikua wanajenga nyumba wakati wa kustaafu...wasomi wa sasa hv wanabanana humo humo kwenye mshahara ili wajenge, wasoneshe na waishi
 
Siku hizi hakuna wajukuu au mashangazi wanaojazana kwenye nyumba..alafu kumbukeni wasomi wengi wa zamani walikua wanajenga nyumba wakati wa kustaafu...wasomi wa sasa hv wanabanana humo humo kwenye mshahara ili wajenge, wasoneshe na waishi
Hili nalo neno
 
Wewe unaesubiri mimi nijenge ili uje uishi kiboya andika maumivu na nyinyi ndo mnatuharibia watoto wetu kisa kuendekeza ujinga
 
Habari

Nimefanya utafiti wa nyumba za kuishi zinazojengwa na vijana wasomi kuanzia degree moja na kuendelea kwa kweli zinafikirisha!
Msomi mzima na kazi yake anakutambia amejenga lakini ukimtembelea kwenda kuona nyumba aliyojenga unabaki kujiuliza hii ni nyumba ya mtu aliyetumia miaka zaidi ya kumi darasani kweli? Ramani haieleweki na jumla ya vyumba alivyojenga ni sebule,chumba chake na chumba cha watoto baasi!

Ni uchoyo ili wasije wageni au ni ukosefu wa hela?

Mbona sisi wasomi wa zamani tulikuwa tunajenga mabangaloo ya kufa mtu?

Wasomi wa siku hizi jirekebisheni nyumba zenu ni sawa tu na ya mkulima wa pamba ambaye anauza na kupata hela mara moja kwa mwaka.View attachment 1850404
Mkulima wa pamba nyumba vyuma 5 watoto 17, mimi nyumba vyumba viwili watoto watatu.

Msomi ni msomi tu
 
Siku hiz tunafamilia kubwa mshahara mdogo, kidume unamademu watano nyumban una mke na watoto wa wili bado wazazi kidume me ndio tegemeo Bangalo litoke wap ata kupata hivyo viwili tu vyumba mungu anisahidie
Maisha kusaidiana sote tunapita.
 
Ujenge bangaloo wamjengea nan..we kama una izo ela sio kila mtu anazo mkuu hili ujaangalia
 
Back
Top Bottom