Utanunua au utakuwa mpangaji maisha yako yote?Mimi nilishasema sitakuja kujenga nyumba. Kuna nyumba nyingi sana zimeshajengwa sihitaji kuendelea kuharibu mazingira kwa kujenga nyingine.
Mimi nitaishi kwenye nyumba zilizokwisha jengwa na wengine na hela yangu nitafanyia mambo mengine.
Kaka tafuta kitabu kinaitwa '' poor daddy rich daddy" ukimaliza kusoma utajua nani mjanja.Mbona sisi wasomi wa zamani tulikuwa tunajenga mabangaloo ya kufa mtu?
Hili nalo nenoSiku hizi hakuna wajukuu au mashangazi wanaojazana kwenye nyumba..alafu kumbukeni wasomi wengi wa zamani walikua wanajenga nyumba wakati wa kustaafu...wasomi wa sasa hv wanabanana humo humo kwenye mshahara ili wajenge, wasoneshe na waishi
Naishi kwenye nyumba aliyojenga baba yangu.Utanunua au utakuwa mpangaji maisha yako yote?
Mkulima wa pamba nyumba vyuma 5 watoto 17, mimi nyumba vyumba viwili watoto watatu.Habari
Nimefanya utafiti wa nyumba za kuishi zinazojengwa na vijana wasomi kuanzia degree moja na kuendelea kwa kweli zinafikirisha!
Msomi mzima na kazi yake anakutambia amejenga lakini ukimtembelea kwenda kuona nyumba aliyojenga unabaki kujiuliza hii ni nyumba ya mtu aliyetumia miaka zaidi ya kumi darasani kweli? Ramani haieleweki na jumla ya vyumba alivyojenga ni sebule,chumba chake na chumba cha watoto baasi!
Ni uchoyo ili wasije wageni au ni ukosefu wa hela?
Mbona sisi wasomi wa zamani tulikuwa tunajenga mabangaloo ya kufa mtu?
Wasomi wa siku hizi jirekebisheni nyumba zenu ni sawa tu na ya mkulima wa pamba ambaye anauza na kupata hela mara moja kwa mwaka.View attachment 1850404
Hiyo nyumba ya mkulima wa pamba kama vyoo vya sekondariNyumba za zamani na za sasa zipi nzur?
Maisha kusaidiana sote tunapita.Siku hiz tunafamilia kubwa mshahara mdogo, kidume unamademu watano nyumban una mke na watoto wa wili bado wazazi kidume me ndio tegemeo Bangalo litoke wap ata kupata hivyo viwili tu vyumba mungu anisahidie
we acha asituletee za kuleta huyo mzee. Watoto walianza jehanamu kabla ya mwisho wa dunia.Hayo mabangaloo mlijenga hewani? Maana hatuyaoni huku mtaani.
Wataishi humo humo mijumba ni mingi sana asee ukoo wote unaenea.Alafu watoto wako watajengewa na nani