Nyumba za kuishi zinazojengwa na wasomi wa siku hizi zinafikirisha

Uzi wa kiFalla sana huu

Nilifikiri unazungumzia procedure za kiufundi na kitaalamu zaidi ili tujue matatizo yako wapi,, kumbe unazungumzia MIPASHO.

Yajue ya kuzingatia ili uachane na yasiyokuhusu
 
wakuu tuache unafki hivi mwanaume unapataje muda wa kufatilia mambo yasiyokuhusu.hii si kaz ya kina dada
 
Siku hiz tunafamilia kubwa mshahara mdogo, kidume unamademu watano nyumban una mke na watoto wa wili bado wazazi kidume me ndio tegemeo Bangalo litoke wap ata kupata hivyo viwili tu vyumba mungu anisahidie
Kwa kweli. Hali ya maisha na upataji pesa vimebadilika sana siku hizi
 
Uelewa wako wa maisha na mazingira kwa jumla ni mdogo.
Muelewe vizuri mtoa mada unafikiri kwanini katupia picha ya ukuta tu badala ya nyumba nzima aliyoizungumzia. Nafikiri anafikisha ujumbe kwa usanii wa hali ya juu
 
Mkipishana naye huko nje Kiingereza kingi utafikiri aliambiwa kipimo cha akili ya mtu ni kujuwa Kiingereza tu tena broken. Wanaboa sana hawa wasanii wa elimu kariri.
 
Mkipishana naye huko nje Kiingereza kingi utafikiri aliambiwa kipimo cha akili ya mtu ni kujuwa Kiingereza tu tena broken. Wanaboa sana hawa wasanii wa elimu kariri.
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
nyumba yangu KAWE BEACH, nina vyumba 4 na viwili underground, hii ni kwa ajili yangu na wageni wangu wanaoniletea hela na sio wanaokuja kuomba hela. I mean bussines, kimoja najenga cha maombi na sala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…