Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Wadau hili suala limekuwa kero sana na imekuwa kasumba kwamba unapoenda kutafuta chumba unaulizwa kwanza kama unalala au ni fasta.
Sasa ukisema unalala unaambiwa hatupangishi vyumba vya kulala mpaka Saa nne usiku. Kwa maana hiyo Sasa hivi gesti zimebadilisha matumizi badala ya nyumba za kulala.
Sasa ni nyumba za fasta unatakiwa ulipie Kwa masaa, mteja ukionekana na mabegi inamaana unataka kulala chumba hupewi, nenda Gongo la Mboto, Banana au Mbezi huo mchezo umekithiri, unaweza kuzunguka na mabegi kutwa nzima, mamlaka inayohusika fuatilieni uchafu huu unaendelea