Lodge bei gani maeneo ya tegeta/ GobaWewe unaenda kwenye madanguro unaita gest? Ingia lodge zipo kibao lakini kama unaenda vigest vya buku tano ili uopoe machangudoa yanayozunguka na kusimama kwenye makorido basi usilalamike
dah ila tunayanyandua kweli kweli[emoji39]Wewe unaenda kwenye madanguro unaita gest? Ingia lodge zipo kibao lakini kama unaenda vigest vya buku tano ili uopoe machangudoa yanayozunguka na kusimama kwenye makorido basi usilalamike
Hivi wewe ??!!! Banana unaenda kulala ukitokea wapi, seminar ipi, au Kuna stend Gani banana kwamba unasafiri. Au ndio kwamba banana unafasiri kwenda nchi Gani ukalale banana Ili uwahi ndege??Wadau hili suala limekuwa kero sana na imekuwa kasumba kwamba unapoenda kutafuta chumba unaulizwa kwanza kama unalala au ni fasta...
... Banana si jirani na JNIA mzee? Au wewe umemwelewa Banana ipi?Hivi wewe ??!!! Banana unaenda kulala ukitokea wapi, seminar ipi, au Kuna stend Gani banana kwamba unasafiri. Au ndio kwamba banana unafasiri kwenda nchi Gani ukalale banana Ili uwahi ndege??
Ulikosea njia mzee, huko ulipoingia ni vyumba vya mal@ya.
Tafuta hoteli nyota 4 au 5 wewe achana na vibanda vya uchochoroni huko.
Tafuta hotel wacha kwenda gesti na bar
... kaingia mitaa ya "wahaya" halafu anataka alale; tabu sana! Kule nasikia unatakiwa umalize shida zako chap umpishe anayefuata bila kupoteza muda. Kama kuna "biashara" nchi hii ziko very sensitive na muda ni huko.umetafuta buguruni,manzese,sinza,kinondoni na tabata hayo maeneo !.
maana huko sio nyumba za wageni ni nyumba za wanyeji
Siku hizi jamiiForum hakuna msaada wowote bora uombe ushauri polisi.Tafuta hela Mkuu wangu
Hizo siyo nyumba za kulala ni nyumba za sexWadau hili suala limekuwa kero sana na imekuwa kasumba kwamba unapoenda kutafuta chumba unaulizwa kwanza kama unalala au ni fasta. Sasa ukisema unalala unaambiwa hatupangishi vyumba vya kulala mpaka Saa nne usiku. Kwa maana hiyo Sasa hivi gesti zimebadilisha matumizi badala ya nyumba za kulala.
Sasa ni nyumba za fasta unatakiwa ulipie Kwa masaa, mteja ukionekana na mabegi inamaana unataka kulala chumba hupewi, nenda Gongo la Mboto, Banana au Mbezi huo mchezo umekithiri, unaweza kuzunguka na mabegi kutwa nzima, mamlaka inayohusika fuatilieni uchafu huu unaendelea
Wadau hili suala limekuwa kero sana na imekuwa kasumba kwamba unapoenda kutafuta chumba unaulizwa kwanza kama unalala au ni fasta. Sasa ukisema unalala unaambiwa hatupangishi vyumba vya kulala mpaka Saa nne usiku. Kwa maana hiyo Sasa hivi gesti zimebadilisha matumizi badala ya nyumba za kulala.
Sasa ni nyumba za fasta unatakiwa ulipie Kwa masaa, mteja ukionekana na mabegi inamaana unataka kulala chumba hupewi, nenda Gongo la Mboto, Banana au Mbezi huo mchezo umekithiri, unaweza kuzunguka na mabegi kutwa nzima, mamlaka inayohusika fuatilieni uchafu huu unaendelea