Interesting hili jukwaa...wewe juzu ulikuwa unasifia jamaa yako katumia laki moja kwenye baa, na wewe kakupa buku 15,ukaona ni pesa nyingi paka umeanzishia uzi ...leo unamkandia huyo jamaa??Wewe unaenda kwenye madanguro unaita gest? Ingia lodge zipo kibao lakini kama unaenda vigest vya buku tano ili uopoe machangudoa yanayozunguka na kusimama kwenye makorido basi usilalamike
Sio kweli. Lodge zipo na zinapokea wageni. Kwa jinsi alivyojieleza mtoa mada itakuwa anaenda sehemu zenye biashara ya ngono. Maeneo kama hayo yana usumbufu sababu muda wowote unaweza shangaa mmevamiwa na polisi mkasombwa.Mleta mada ameleta hoja muhimu Sana,
Wachanguaji tuache mihemko.
Hizo tabia zipo Sana tu ktk lodge nyingi sn.
Sent using Jamii Forums mobile app
Banana na gongo la mboto Kuna gest nzuri sana acha dharau na pia Kuna hotel za maana kabisa wewe utakuwa mhayavya bei nafuu vina kero zake, acha kwenda kulala kwenye vi guest house vya shilingi elfu 7, elf 10, au elf 15.
kuanzia sasa, jizoeshe kulala lodge za kuanzia elf 20, elf25 au elf30, huko hakuna upuuzi huo.
tafuta pesa.
Sasa hivi wanawake wako very cheap!dah ila tunayanyandua kweli kweli[emoji39]
40000 rafia karibu na AfricanaLodge bei gani maeneo ya tegeta/ Goba
Wadau hili suala limekuwa kero sana na imekuwa kasumba kwamba unapoenda kutafuta chumba unaulizwa kwanza kama unalala au ni fasta.
Sasa ukisema unalala unaambiwa hatupangishi vyumba vya kulala mpaka Saa nne usiku. Kwa maana hiyo Sasa hivi gesti zimebadilisha matumizi badala ya nyumba za kulala.
Sasa ni nyumba za fasta unatakiwa ulipie Kwa masaa, mteja ukionekana na mabegi inamaana unataka kulala chumba hupewi, nenda Gongo la Mboto, Banana au Mbezi huo mchezo umekithiri, unaweza kuzunguka na mabegi kutwa nzima, mamlaka inayohusika fuatilieni uchafu huu unaendelea

Buza gesti za buku kumi mchana hupati chumba ni mda wa showtime tu mpaka usiku mneneWewe unaenda kwenye madanguro unaita gest? Ingia lodge zipo kibao lakini kama unaenda vigest vya buku tano ili uopoe machangudoa yanayozunguka na kusimama kwenye makorido basi usilalamike
Alafu ukichungulia nje unakuta mwanamke anaoga hadharaniNend NamNan sinza pale Tshs 40,000 huwezo kosa chumba
[emoji3]Tafuta hotel wacha kwenda gesti na bar
jamaa anafanya kazi kwa muhindi, mshahara laki na nusu lodge 20k - 30k hawezi afford.vya bei nafuu vina kero zake, acha kwenda kulala kwenye vi guest house vya shilingi elfu 7, elf 10, au elf 15.
kuanzia sasa, jizoeshe kulala lodge za kuanzia elf 20, elf25 au elf30, huko hakuna upuuzi huo.
tafuta pesa.
Hizo za bei rahisi .Sio kweli. Lodge zipo na zinapokea wageni. Kwa jinsi alivyojieleza mtoa mada itakuwa anaenda sehemu zenye biashara ya ngono. Maeneo kama hayo yana usumbufu sababu muda wowote unaweza shangaa mmevamiwa na polisi mkasombwa.
Tatizo la hoteli, lodge na gest ni kasheria walichojiwekea kuwa mwisho saa nne. Yaani uingie saa nane usiku ikifika saa nne ndo mwisho hiyo ndo tabia ya kijinga. Ilitakiwa watu walipe kwa 24hrs. Au basi atlest 20hrs ili 4hrs ziwe kwa ajili ya usafi.
20kLodge bei gani maeneo ya tegeta/ Goba
Mkaldoyo iyo gesti ni ya shemeji Yako?Nend NamNan sinza pale Tshs 40,000 huwezo kosa chumba
Mimi naamini ni ugumu wa maishaSasa hivi wanawake wako very cheap!
Kuna siku niliamua kuokota namba za wadada kama saba hivi siku hiyo sina kazi nikatulia nikawatongoza randomly wanne walikubali on the spot watatu wakawa na dharura ila still walinielewa,sasa sijui ni maisha yamekuwa magumu au ni uhuru wa kutumia miili yao sijui.
Mkuu sasa wewe muda mwingi unaishi uswizMleta mada ameleta hoja muhimu Sana,
Wachanguaji tuache mihemko.
Hizo tabia zipo Sana tu ktk lodge nyingi sn.
Sent using Jamii Forums mobile app