Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Hamna hio ni dar tu Msamvu pale guest unapata muda wowote hata useme unataka kulalaMaeneo kama hayo yapo kila mkoa, morogoro msamvu, arusha makao mapya
Mkaldoyo iyo gesti ni ya shemeji Yako?
Duh, hii ilinitokea mwaka 2004 nilikuwa naenda kilwa, nikaenda kulala mbagala ambako zile coaster za kwenda kilwa zinaanzia. Nilitembea hadi miguu ikauma nikaamua kukubali matokeo nikisubiri saa tano ndo nikapewa chumba ila kilikuwa kinanukia k sikupata usingizi nikatoka saa 10 nikakaa nje hadi saa 12 nkaenda stendi.Ulikosea njia mzee, huko ulipoingia ni vyumba vya mal@ya.
Sasa mapema na mabegi ya nn ndugu unalala sa hizo ? Wamekwambia kulala ni kuanzia saa 4 ww unalalamika nn ? Hali ya biashara ni ngumu acha hizo, serikali ikiweka mashart kila mahali tutashindwa kuishi,Wadau hili suala limekuwa kero sana na imekuwa kasumba kwamba unapoenda kutafuta chumba unaulizwa kwanza kama unalala au ni fasta.
Sasa ukisema unalala unaambiwa hatupangishi vyumba vya kulala mpaka Saa nne usiku. Kwa maana hiyo Sasa hivi gesti zimebadilisha matumizi badala ya nyumba za kulala.
Sasa ni nyumba za fasta unatakiwa ulipie Kwa masaa, mteja ukionekana na mabegi inamaana unataka kulala chumba hupewi, nenda Gongo la Mboto, Banana au Mbezi huo mchezo umekithiri, unaweza kuzunguka na mabegi kutwa nzima, mamlaka inayohusika fuatilieni uchafu huu unaendelea
Hakuna Kitu nalaani kama kwenda kulala kwenye Nyumba zinazofanya hiyo Kitu, na hata kama nitapata chumba na baadae nikagundua Kuna activities za namna hiyo Asubuhi na mapema nahama!Hizo siyo nyumba za kulala ni nyumba za sex
Pole Mkuu. Dawa yao inachemka, wataaalam washaona fursa huko jikoni kuna dawa inaitwa RERA inasukwa. RERA yaaani Real Estate Regulatory Authority itakua mwarobaini wa Wapangisha nyumba, Logde, Hotels, Madalali wa Viwanja na kampuni za Upimaji nk nkWadau hili suala limekuwa kero sana na imekuwa kasumba kwamba unapoenda kutafuta chumba unaulizwa kwanza kama unalala au ni fasta.
Sasa ukisema unalala unaambiwa hatupangishi vyumba vya kulala mpaka Saa nne usiku. Kwa maana hiyo Sasa hivi gesti zimebadilisha matumizi badala ya nyumba za kulala.
Sasa ni nyumba za fasta unatakiwa ulipie Kwa masaa, mteja ukionekana na mabegi inamaana unataka kulala chumba hupewi, nenda Gongo la Mboto, Banana au Mbezi huo mchezo umekithiri, unaweza kuzunguka na mabegi kutwa nzima, mamlaka inayohusika fuatilieni uchafu huu unaendelea
😀😀Siku hizi jamiiForum hakuna msaada wowote bora uombe ushauri polisi.
Nimelala sana pale patamuNend NamNan sinza pale Tshs 40,000 huwezo kosa chumba
Kiongozi wabobezi wa hizi sekta ni machangudoa sisi niwapitaji tumpwayungu village uko vizuri Sana kwenye hii sekta ya biashara ya ngono/lodge/vyangudoa sijui Ni ulivyo ishi jirani na Sewa/Mboka?
Muda wote mkondakta wanataka shusha pakia.Hata makondakta huwa hawapendi abiria wa kawe-mbagala ile asubuhi. Wakiona hamshuki wanaanza kujisemea na dereva leo tumebeba waheshimiwa yaani linapoanzia gari mpaka mwisho wa safari.
Nipe connection ya kuisaka pesa mkuu.vya bei nafuu vina kero zake, acha kwenda kulala kwenye vi guest house vya shilingi elfu 7, elf 10, au elf 15.
kuanzia sasa, jizoeshe kulala lodge za kuanzia elf 20, elf25 au elf30, huko hakuna upuuzi huo.
tafuta pesa.
Kuna lodge na gest hauzi ..Mleta mada ameleta hoja muhimu Sana,
Wachangiaji tuache mihemko.
Hizo tabia zipo Sana tu ktk lodge nyingi sn.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ore wako ukute hayajara chakura! Bia ….. mbaya Zaidi umkute kuruta wa Moshi! Kombati imefungwa kwa mkanda chakavu !…… maweee....yatakwambia ''arooo!!! wewe ni ria- arifu tu! vua viatu sunguka counta mara mocha! amri harariii!!Siku hizi jamiiForum hakuna msaada wowote bora uombe ushauri polisi.