Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,517
- 3,316
Nenda TEC pale kama kuna nafasi wanaweza kuku accommodateWadau siku ya pili hii natafuta nyumba ya kulala wageni eneo la Kurasini ni shida. Sijafanikiwa kuna wageni wangu wanataka fikia huku shughul zao zipo ukanda huu.
Gharama ya chumba iwe tsh 40,000 mpka 60,000 kwa siku. kuwe sehemu tulivu na yenye chakula (hotel) kusiwe na fujo..
Nahitaji msaada wa mapendekezo.
Jamaa hawataki hostel sababu wanasema watashindwa chakata mbususu za watoto wa uhasibuNenda Jeshi la Wokovu huwa wana hostels wanakodisha, nyingi ukanda huo zilivunjwa na zinazidi kuvunjwa kuna jamaa ananunua maeneo huko ndugu
TEC si ni sehemu ya Wakristo?wanaruhusu imani nyingine? Je mtu anaweza akaingiza Kampani bila usumbufu?Nenda TEC pale kama kuna nafasi wanaweza kuku accommodate
Nyuma ya Chuo cha Diplomasia kuna maeneo kibao wewe tu mwenyewe ushindweGharama ya chumba iwe tsh 40,000 mpka 60,000 kwa siku. kuwe sehemu tulivu na yenye chakula (hotel) kusiwe na fujo..
Basi wasogeze mpaka pale Suma JKTJamaa hawataki hostel sababu wanasema watashindwa chakata mbususu za watoto wa uhasibu
Ok ngoja nikaangalie hukoNyuma ya Chuo cha Diplomasia kuna maeneo kibao wewe tu mwenyewe ushindwe
Waambie chuo kimeshafungwa, ama laah wavuke darajani kuna lodge flan executive hivi vyumba vyake vinaanzia 20k ni pazuri sanaJamaa hawataki hostel sababu wanasema watashindwa chakata mbususu za watoto wa uhasibu
Waambie chuo kimeshafungwa, ama laah wavuke darajani kuna lodge flan executive hivi vyumba vyake vinaanzia 20k ni pazuri sana
Ipo sehemu gani?Au nenda karibu na uwanja wa taifa pale kuna hotel zamani iliitwa imasko.
Kigamboni vijibweni baada tu ya kuvuka daraja Kuna lodge nzuri safi self contained bei rahisi.Ukivuka daraja la Kigamboni?
Hivi IMASCO pale opposite na Uwanja wa taifa/BMT si patakua bado panafanyakazi
2010 Nilikuaga na Dent mmoja wa Uhasibu tulikua tunajivinjari pale
Aisee Kumbe unapokea kikosi cha wazinifuJamaa hawataki hostel sababu wanasema watashindwa chakata mbususu za watoto wa uhasibu