Nyumba za kupanga ni mateso sana

Kwamba washkaji zako wanakuja kukutembelea halafu unataka waoge?! Huwa mnafanya nini?
 
Kunya kwa Uhuru mkuu

Ikibidi wagonge wote hawajishimu hao
 
We fala umenichekesha sana ila acha uboya! Ongeza upange Apartment ni aghali ila kuna raha yake amini nakwambia. Jichange change tu ukae kwako ukiwa fully fledged ukiingia ndani kwako unakuwa unamaliza mambo yote yani kinachokutoa nje ni kuanika nguo tu.

Pia utakuwa unaishi na watu wenye class katika mazingira hayo sababu wambea wambea hawawezi ku afford kodi ya laki 2 au zaidi kwa mwezi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ labda wawe ni genge la wadangaji!

Nimeishi maisha yote ya kukaa nyumba ya mama mwenye nyumba njaa njaa na mkuda anakufatilia na kudai kodi before time na nyumba ambayo mmiliki ni Don hakai hapo! Raha ni kukaa kwenye nyumba ambayo mwenye nyumba ana mishe zake sio kutegemea kodi za nyumba na anakaa mbali na hapo!

Tafuta nyumba ya aina hio mzee utakuja kuniambia!
 
Mzee japo kauli yako ina ukweli ndani yake kwa asilimia kubwa, ila pia jua umbea sio umasikini ni tabia... Wapo watu wanaweza kuoanga mpaka apartment za laki 250 lakini wambea hatari, wapo wenye kipato cha m3 na zaidi kwa mwezi lakini wambea mwisho, kuna wengine ni wa chumba cha elf 30 na hawana umbea.
 
hao wanaokushauri upange self ni wajinga
siwezi kulala na mavi ndani mm
 
W
We fala umenchekesha apo "ukiendesha saut wanazihack" πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…