Apollo one spaceship
JF-Expert Member
- Jan 28, 2021
- 245
- 457
Ninayoyaona hapa ninapoishi yanahuzunisha sana
*Kwamba kuvusha dem n sawa lkn wakikutembelea washikaj hawaruhusiw kuoga.
*Mama mwenye nyumba na wanae wanatandika mkeka karibu na choo.Ukizam kuendesha sauti zinadukuliwa.
Haki ya nan nawaachia kodi yao tu.