Nyumba za kupanga ni mateso, zasababisha udumavu wa akili na msongo wa mawazo

Nyumba za kupanga ni mateso, zasababisha udumavu wa akili na msongo wa mawazo

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
7,207
Reaction score
17,674
Kama unaishi nyumba za kupanga zenye masharti lukuki hii inakuhusu sana, wataalamu wa afya ya akili na wanasaikolojia wameonya kuwa masharti hayo ni moja ya kichocheo cha mtu kukumbwa na magonjwa ya afya ya akili ikiwemo sonona.

Takwimu za magonjwa ya afya ya akili kwa mwaka jana kutoka Wizara ya Afya zinaonyesha Watanzania milioni saba wana matatizo ya afya ya akili, huku Mkoa wa Dar es Salaam ukionekana kinara na idadi kubwa ya watu wenye matatizo hayo.

Kauli ya wataalamu hao inakuja wakati Debora Maiko mkazi wa Mbezi Afrikana Dar es Salaam, akisimulia mama mwenye nyumba wake kumkataza kuamka alfajiri kabla yake na wakati mwingine haruhusiwi kutoka ndani hadi mama huyo amwage maji barazani.

Akizungumza hivi karibuni na Mwananchi Debora alisema jambo la ajabu katika mkataba mama huyo hakuainisha masharti hayo, pia hakuna mpangaji anayeruhusiwa kupiga nyimbo za dini au kutoka nje kabla ya mama huyo kuamka.

Alisema kunapotokea hali ya kukiuka utaratibu huo, mwenye nyumba hutishia kusitisha mkataba kwa madai kuwa mtenda tukio anamuharibia mambo yake.

Kauli ya Debora ianungwa mkono na Sophia Urasa mkazi wa Mabibo anayeshangazwa na masharti ya jirani yao asiyepangisha vijana waliooa ndani ya nyumba yake au familia yenye mtoto mchanga kuishi kwake.

Daktari Idara ya Afya ya Akili, kutoka Hospitali Rufani Kanda ya Mbeya, Dk Raymond Mgeni alisema vitisho na masharti kandamizi anayotoa mmiliki wa nyumba kwa mpangaji wake humsababishia mpangaji kupata msongo wa mawazo ambao huchangia mtu kuingia katika kundi la magonjwa ya akili ikiwemo sonona.

“Mwenye nyumba anapoweka masharti magumu bila kufahamu aina ya watu anaowapangisha aidha ni wanafunzi, mtu mwenye kipato chenye kutia shaka, anayepitia changamoto ya mahusiano au kodi kwa pamoja vinamuingiza mtu huyo katika sonona,’’ alisema.

Alisema athari ya mtu kupata
 
Watu wasikuhizi wamekuwa walaini sana,yaani masharti ya kitoto kabisa kama hayo yqnakupa msongo!!

Hv huwa mnajiuliza vijana wanajeshi wanaipelekwa kwenye mission mbalimbali ambapo wanaweza kupoteza maisha yao,huwa wanajisikiaje?

Vipi kuhusu wataalamu wa umeme wanaofanya kazi zenye risk kubwa ya kufa,je madakitar
 
Huu ujinga wa haki za kizungu utatudumaza.. kama kitu hakijaandikwa kwenye mkataba ni wazi mwenye nyumba ndo anakosea.. so akimwaga mboga mwaga ugali
 
Wenye nyumba wengine ndio hutaka kuwa wa mwisho kuingia ndani au wa kwanza kuingia chooni asubuhi.
Wengine wanakataza usibadilishe Mbususu kwenye nyumba yake.

Ni shiidaa...!!!!
 
Ndio vizuri hili mjenge zenu msibweteke, unataka mwenye nyumba awe fair kwa kila kitu,utaishia kupanga mkuu,
Gubu na kero za wenye nyumba inasaidia Sana! Kingine watu hawataki wapangaji wenye familia inakuwa kero muda mwingine,Bora upangishe mabachela watupu ,Kuna wapangaji Wana watoto watundu na waharibifu,halafu wanawalea kwa madekezo
 
😂😂😂😂 kuna wapangaji wengine huwa wanajipa mamlaka ya kusimamia kila kitu kama vile wao ndio wenye nyumba......kuna limama lilifikia hadi kuniambia eti nisilete wanawake kwangu huwa hapendi...naona alijipa hadhi ambayo..sasa juzi nasikia mpangaji ambae huwa tunampa bili za maji na umeme alipie akawa analalamika kuwa lile limama lina miezi 3 halijalipa maji wala umeme....aisee nikajihisi kifua kimejaa balaa..limama kwenye kikao linajifanya kujam...nikaliambia wewe ni msen** kama wasenge wengine tuliwasha moto balaa
 
Utapangaje nyumba bila kufahamu masharti au maelekezo ya wenyenyumba?...haya mambo ya kupangiana masharti magumu yasiyotekelezeka kikawaida yapo sana, huruhusiwi sijui kupika nguruwe,mara kujipuliza perfume sijui kuwahi kuamka yani pesa yako inakutesa, hizi ni akili za kitapeli...watu wajenge ili waishi kwao sasa.
 
Hujapanga nyumba ninayokaa mimi wewe
jirani yangu akifua chupi anajaza kamba nzima
Hii ilinitokea nikamfata na kumwambia ukiona vichupi vyako vinapotea husiende kwa mganga jua ni mimi nitakuwa navipigia punyeto nikiwa na nyege,hadi leo cjawahi kuona anavianika vibikini vyake nje

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Watu wasikuhizi wamekuwa walaini sana,yaani masharti ya kitoto kabisa kama hayo yqnakupa msongo!!

Hv huwa mnajiuliza vijana wanajeshi wanaipelekwa kwenye mission mbalimbali ambapo wanaweza kupoteza maisha yao,huwa wanajisikiaje?

Vipi kuhusu wataalamu wa umeme wanaofanya kazi zenye risk kubwa ya kufa,je madakitar
Ongezea na marubani wanaoendesha ndege angani.
 
Back
Top Bottom