RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Ukikutana na mwenye nyumba muhuni kama wewe mbona poa tu.Katika moja ya kanuni zangu ni kuishi kwenye nyumba ambayo landlord hakai humo. Hii inasaidia sana kulinda uhuru wako kama moangaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukikutana na mwenye nyumba muhuni kama wewe mbona poa tu.Katika moja ya kanuni zangu ni kuishi kwenye nyumba ambayo landlord hakai humo. Hii inasaidia sana kulinda uhuru wako kama moangaji
Naomba nijengee basPoleni na inasikitisha sana...
Ondoa shaka... omba lingine...Naomba nijengee bas
Vp anamatako makubwa au anajaza vyupi kwenye kamba wakati mzigo hanaHujapanga nyumba ninayokaa mimi wewe
jirani yangu akifua chupi anajaza kamba nzima
Unataka niseme nn S?,acha ukorofi basOndoa shaka... omba lingine...
Alafu mbona baada ya kuongea na mimi kwenye simu umekua mpole sana ghafla...
Nataka uendelee kua kichwa ngumu...Unataka niseme nn S?,acha ukorofi bas
Ndo nimekuwa tayariNataka uendelee kua kichwa ngumu...
Umekua nini?Ndo nimekuwa tayari
Kichwa ngumuUmekua nini?
Mtoto laini sana wewe...Kichwa ngumu
Umenifunza kuwa mtu mbayaMtoto laini sana wewe...
Laini alafu una deka sana alafu unawivu sana aisee...Umenifunza kuwa mtu mbaya
Haya bhana,mshindi weweLaini alafu una deka sana alafu unawivu sana aisee...
Nashukuru umekubali yaishe...Haya bhana,mshindi wewe
Kha! kwahiyo anazidundulizaHujapanga nyumba ninayokaa mimi wewe
jirani yangu akifua chupi anajaza kamba nzima
Eeh mwenye nyumba akiwa mwana unaishi nae tu freshi kabisa yani. Ila ile mimaza au mizee jau jau iliofeli ki lifestyle ndio mara nyingi wanaleta vipengele.Ukikutana na mwenye nyumba muhuni kama wewe mbona poa tu.
Wahindi wengi wanapanga nyumba za taasisi sio nyumba za Mzee kondo sijui bi nyau!Wahindi ni matajiri namba moja Tanzania na Miaka yote huishi nyumba za kupanga
Watoto wao wanasomesha Ulaya na Marekani
Mtu ukiwa lofa kama mleta mada utatafuta kila kisingizio !!