Nyumba za kupanga ni mateso, zasababisha udumavu wa akili na msongo wa mawazo

Nyumba za kupanga ni mateso, zasababisha udumavu wa akili na msongo wa mawazo

Mimi mradi unatoa kodi kwa wakati wala sikusumbui ila tutagombana pale utakapoleta utani mbele ya pesa na hii hutokea especially kama mwenye nyumba hukai hapo.
My money on time and we're cool as ice.
 
Mwenye nyumba ukimpa kodi zake kwa wakati na bill zote ukilipa bila kelele, utaishi upendavyo na hawezi kukusumbua coz atakuwa anakuheshimu.
Labda kama uwe umepanga Uswahilini.
 
Ukikutana na mwenye nyumba muhuni kama wewe mbona poa tu.
Eeh mwenye nyumba akiwa mwana unaishi nae tu freshi kabisa yani. Ila ile mimaza au mizee jau jau iliofeli ki lifestyle ndio mara nyingi wanaleta vipengele.
 
Wahindi ni matajiri namba moja Tanzania na Miaka yote huishi nyumba za kupanga
Watoto wao wanasomesha Ulaya na Marekani

Mtu ukiwa lofa kama mleta mada utatafuta kila kisingizio !! Cha matatizo yako mara ohh nyumba ya kupanga.nk
 
Wahindi ni matajiri namba moja Tanzania na Miaka yote huishi nyumba za kupanga
Watoto wao wanasomesha Ulaya na Marekani

Mtu ukiwa lofa kama mleta mada utatafuta kila kisingizio !!
Wahindi wengi wanapanga nyumba za taasisi sio nyumba za Mzee kondo sijui bi nyau!
 
Back
Top Bottom