Nyumba za kupanga ni mateso, zasababisha udumavu wa akili na msongo wa mawazo

Wahindi ni matajiri namba moja Tanzania na Miaka yote huishi nyumba za kupanga
Watoto wao wanasomesha Ulaya na Marekani

Mtu ukiwa lofa kama mleta mada utatafuta kila kisingizio !!
Wahindi wamenunua huko wanapoishi
 
Wenye nyumba wengine ndio hutaka kuwa wa mwisho kuingia ndani au wa kwanza kuingia chooni asubuhi.
Wengine wanakataza usibadilishe Mbususu kwenye nyumba yake.

Ni shiidaa...!!!!
Huo upuuzi kuna bwege mmoja aliwahi kunifanyia maeneo ya Uyole-Mbeya,nikamuonyesha kuwa mimi ni nani!.
 
Kuna nyumba moja niliwahi kuishi nilikutana na maza mmoja mtata sana. Wakati nahamia mume wake alitaka kuweka uzio katikati maana zilikuwa nyumba mbili kwenye uzio mmoja lakini huyu maza alikataa. Ilikuwa nikipata mgeni ananiita kuniuliza anakaa hadi lini, kuna wakati aliniambia sasaivi shimo la maji taka limewahi kujaa inaonekana nawageni wengi wanaotumia choo na kuflash mara kwa mara.

Siku moja mapema alinipigia simu na kuniambia mkataba ukiisha nihame baada ya kumuona mdogo wangu anatoka kwangu asubuhi. Huyu dogo aliwahi kunitembelea maza akaniita kuniuliza nikamwambia amekuja kutembea tu ataondoka, dogo aliondoka baada ya wiki akarudi tena kwangu ndio asubuhi yake alipomuona maza akanipigia kunipa taarifa zile za kunitaka kuhama.

Nashukuru nyumba niliyopata sasaivi naishi peke yangu japokuwa kuna nyumba mbili lakini hii moja mwenye nyumba kaweka mlinzi tu yeye hana time yuko zake nje ya nchi, hapa nakaa kwa amani sana naimani sitahama hadi nahamia kwangu 😛
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna wapangaji wengine huwa wanajipa mamlaka ya kusimamia kila kitu kama vile wao ndio wenye nyumba......kuna limama lilifikia hadi kuniambia eti nisilete wanawake kwangu huwa hapendi...naona alijipa hadhi ambayo..sasa juzi nasikia mpangaji ambae huwa tunampa bili za maji na umeme alipie akawa analalamika kuwa lile limama lina miezi 3 halijalipa maji wala umeme....aisee nikajihisi kifua kimejaa balaa..limama kwenye kikao linajifanya kujam...nikaliambia wewe ni msen** kama wasenge wengine tuliwasha moto balaa
Ningekuwa mm ningemwambia kama hataki nilete dem ajege yy gheto
 
Kuna nyumba moja niliwahi kuishi nilikutana na maza mmoja mtata sana. Wakati nahamia mume wake alitaka kuweka uzio katikati maana zilikuwa nyumba mbili kwenye uzio mmoja lakini huyu maza alikataa. Ilikuwa nikipata mgeni ananiita kuniuliza anakaa hadi lini, kuna wakati aliniambia sasaivi shimo la maji taka limewahi kujaa inaonekana nawageni wengi wanaotumia choo na kuflash mara kwa mara.

Siku moja mapema alinipigia simu na kuniambia mkataba ukiisha nihame baada ya kumuona mdogo wangu anatoka kwangu asubuhi. Huyu dogo aliwahi kunitembelea maza akaniita kuniuliza nikamwambia amekuja kutembea tu ataondoka, dogo aliondoka baada ya wiki akarudi tena kwangu ndio asubuhi yake alipomuona maza akanipigia kunipa taarifa zile za kunitaka kuhama.

Nashukuru nyumba niliyopata sasaivi naishi peke yangu japokuwa kuna nyumba mbili lakini hii moja mwenye nyumba kaweka mlinzi tu yeye hana time yuko zake nje ya nchi, hapa nakaa kwa amani sana naimani sitahama hadi nahamia kwangu 😛
Duh hatari sana
 
Hio hoja ya debora Ingekuwa na mashiko kama nyumba za kupanga Ingekuwa ni hio tu peke yake.
 
Ajakutana na vichaa, masharti yake yanakiukwa au arudishe kodi nikapange kwingine. Si akapangishe misukule
 
Utapangaje nyumba bila kufahamu masharti au maelekezo ya wenyenyumba?...haya mambo ya kupangiana masharti magumu yasiyotekelezeka kikawaida yapo sana, huruhusiwi sijui kupika nguruwe,mara kujipuliza perfume sijui kuwahi kuamka yani pesa yako inakutesa, hizi ni akili za kitapeli...watu wajenge ili waishi kwao sasa.
Hizo nyumba za washirikina.
 
Wapo landlord wachawi nyumba zao nzuri tu lakini huwezi maliza mwezi unahama mwenyewe na kodi wanachukua ya miezi sita na hawarudishi. Wana weka majini kwenye nyumba zao utakula vitimbi utahama mwenyewe, hula na madalali na madalali wanajua dili hizo, maadamu wao percentage yao ipo. Na kisheria uwakamati maana sheria haitambui uchawi. Mkataba unakuwa umevunja mwenyewe kwa kuondoka kabla ya kodi yako.
 
Duh hii hatari sasa
 
Dawa Ni kupambana Sana ili angalau umiliki kiwanja ujenge kwako.Kero za wenye nyumba hazitokaa ziishe kamwe.
 
Back
Top Bottom