utakuja Mwananyamalanitaenda wapi sasa hivi?
uku tuko mlimani , hakuna mafurikoSi sawa na Kwamtogole
ila kuna kwa Wahaya, Royal Bar na kwa KamanyolaPia hakuna Uwanja wa Fisi
hatari sana hiyoNamkumbuka rafiki yangu aliyeishi Mburahati mfanyakazi wa TRA. Alitembea na wake wa wapangaji wake wote. Kila akienda chooni asubuhi anashika elfu ishirini mkononi. Mwanamke atakayemkuta anafagia kule uwani anapewa 20 thou. Wanawake wakawa wanagombania zamu za usafi. Waume zao walipostuka kwanini wake zao wanagombania zamu za usafi ndio siri ilipofichuka na wapangaji wote kuhama.
Usidharau kwenuDah hao ndio walala hoi wa third weld countries. Cheki hapo chini walala hoi wa mamtoni watu wa mbele sisi wabeba bksi. Hako ni kastudio apartment ni chumba kimoja tuu sebule hapo hapo choo ndani kwa ndani. Umeme maji kamwe haukatiki. View attachment 1298724View attachment 1298725View attachment 1298726
Unadhani angeniamini? Unajua kuku tena enzi hizo. Mtu ampe mkeo kuku??Ingenuity ukamueleza ukweli, hakuwa na nia mbaya.
Mkuu hivi wewe ndo yule mbeba boksi wa Denmark? Copenhagen?Dah hao ndio walala hoi wa third weld countries. Cheki hapo chini walala hoi wa mamtoni watu wa mbele sisi wabeba bksi. Hako ni kastudio apartment ni chumba kimoja tuu sebule hapo hapo choo ndani kwa ndani. Umeme maji kamwe haukatiki. View attachment 1298724View attachment 1298725View attachment 1298726
Shida ni hizo gharama za kuipata hio mita.Mita na nguzo vingetowela bure zijilipe zenyeweUswahilini nakuwa napaangalia kwa jicho la tofauti sana na hizi Mamlaka za serikali kutoa huduma. Mfano hiyo nyumba moja yenye vyumba 10 ina watu 30, kila chumba kingewekwa Meter ya Luku, tuseme mfano kila siku mpangaji mmoja anatumia umeme wa elfu 1, hivyo kwa mwezi anatumia umeme wa elf 30. Au 20. Tanesco wangekusanya pesa kiasi gani kila mwezi!?