Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
- Thread starter
- #61
Unaoga saa sita usiku au 11 asubuhi uNilipanga uswahilini nikaonyeshwa chumba enzi hyo chumba kizuri nlikipenda ila sikua na akili ya kuulizia choo kiko wapi,maana nlikua ndio kwanza naingia ulimwengu wa kupanga.
nikahamiaa,choo cha ile nyumba ni paspot size ukiingia kuoga ukisimama unaonekana kifua chote,halafu ubaya kile choo ukiwa chooni kuna kina mama wanakuona,mimi nilikua nikiingia bafuni nachuchumaa naoga mpaka natoka sisimami.
Hali ikawa inanishinda nikawa naoga huko kwenye mabafu ya kulipia nikija nyumbani kulala tu.