Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,737
- 18,935
Hahahaha unazingua sana kumbe ni jamaa wa Arachuga...Aiseee chalii yangu Lyamber ndie mimi ariiiff. Nilienda plastic surgery, botox na fillers.
Hahahaha unazingua sana kumbe ni jamaa wa Arachuga...Aiseee chalii yangu Lyamber ndie mimi ariiiff. Nilienda plastic surgery, botox na fillers.
Huu ni upumbavu wa wenye mamlaka tu. Kipindi fulani niliwahi kuomba meter ya maji ofisini kwangu, mimi nina laundry. Jamaa walikataa wanataka mwenye nyumba ndiye aombe mimi mpangaji siruhusiwi kupewa mita. Sasa jiulize, mita niliyokuwa naitaka ni ya kufanyia biashara, ni kiasi gani cha pesa ningekuwa nalipa bill kila mwezi!? Pale mwenye nyumba bill anayoilipa kila mwezi haizidi elfu 3Shida ni hizo gharama za kuipata hio mita.Mita na nguzo vingetowela bure zijilipe zenyewe
Wangekupa tu masharti kuwa ukihama unahama na meter yako kwakua nyumba si yakwako.Huu ni upumbavu wa wenye mamlaka tu. Kipindi fulani niliwahi kuomba meter ya maji ofisini kwangu, mimi nina laundry. Jamaa walikataa wanataka mwenye nyumba ndiye aombe mimi mpangaji siruhusiwi kupewa mita. Sasa jiulize, mita niliyokuwa naitaka ni ya kufanyia biashara, ni kiasi gani cha pesa ningekuwa nalipa bill kila mwezi!? Pale mwenye nyumba bill anayoilipa kila mwezi haizidi elfu 3
Watendaji wengi wamekariri kazi si wabunifuHuu ni upumbavu wa wenye mamlaka tu. Kipindi fulani niliwahi kuomba meter ya maji ofisini kwangu, mimi nina laundry. Jamaa walikataa wanataka mwenye nyumba ndiye aombe mimi mpangaji siruhusiwi kupewa mita. Sasa jiulize, mita niliyokuwa naitaka ni ya kufanyia biashara, ni kiasi gani cha pesa ningekuwa nalipa bill kila mwezi!? Pale mwenye nyumba bill anayoilipa kila mwezi haizidi elfu 3
Breech of privacy ninaiheshimu.
Na ukirogwa uingie kwenye kumi na nane zake ndio utamjua mzaramo anaweza kuua kwa kusuta.
We hujui wanalipa Umeme zaidi wakitumia mita moja kuliko kila mtu akiwa na yakeUswahilini nakuwa napaangalia kwa jicho la tofauti sana na hizi Mamlaka za serikali kutoa huduma. Mfano hiyo nyumba moja yenye vyumba 10 ina watu 30, kila chumba kingewekwa Meter ya Luku, tuseme mfano kila siku mpangaji mmoja anatumia umeme wa elfu 1, hivyo kwa mwezi anatumia umeme wa elf 30. Au 20. Tanesco wangekusanya pesa kiasi gani kila mwezi!?
Unataka kulala na maviNatafuta chumba na sebule choo master, kibo, kona, baruti, bucha na kimara mwisho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah hao ndio walala hoi wa third weld countries. Cheki hapo chini walala hoi wa mamtoni watu wa mbele sisi wabeba bksi. Hako ni kastudio apartment ni chumba kimoja tuu sebule hapo hapo choo ndani kwa ndani. Umeme maji kamwe haukatiki. View attachment 1298724View attachment 1298725View attachment 1298726
Afadhali mama wa kizaramo akupige makofi mambo yaishe kuliko kukusema kimafumbo kuanzia anapoingia demu wako hadi anatoka. Na kama demu wako ni mswahili ujue uchumba umekwisha.We hujui wanalipa Umeme zaidi wakitumia mita moja kuliko kila mtu akiwa na yake
Sent using Jamii Forums mobile app
InterestingNamkumbuka rafiki yangu aliyeishi Mburahati mfanyakazi wa TRA. Alitembea na wake wa wapangaji wake wote. Kila akienda chooni asubuhi anashika elfu ishirini mkononi. Mwanamke atakayemkuta anafagia kule uwani anapewa 20 thou. Wanawake wakawa wanagombania zamu za usafi. Waume zao walipostuka kwanini wake zao wanagombania zamu za usafi ndio siri ilipofichuka na wapangaji wote kuhama.
Daaah huyo kweli baharia, katisha sana. Hapo kasambaza ukimwi nyumba nzima.Namkumbuka rafiki yangu aliyeishi Mburahati mfanyakazi wa TRA. Alitembea na wake wa wapangaji wake wote. Kila akienda chooni asubuhi anashika elfu ishirini mkononi. Mwanamke atakayemkuta anafagia kule uwani anapewa 20 thou. Wanawake wakawa wanagombania zamu za usafi. Waume zao walipostuka kwanini wake zao wanagombania zamu za usafi ndio siri ilipofichuka na wapangaji wote kuhama.
Kibo Ni tandale mkuu usijaribu enda ishi ule mtaaa ni shidaNatafuta chumba na sebule choo master, kibo, kona, baruti, bucha na kimara mwisho.
Sent using Jamii Forums mobile app