sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
tatizo ni kwamba jamiiforums kila mtu ana nyumba mitaa ya masaki, akifulia ana self contained ššNawewe kwann usitafute self
Dawa ya watu kama hao ni kuwawekea choo cha kukaa sababu choo cha kukaa hakimalizi haja.Enzi hizo nasoma chuo nilipanga geto, niliishi nyumb in watu wazima kidogo, Mtu na akili zake anatoka nje na taulo anaenda anaingia choon na maji nusu jagi Alafu anaenda kushusha zigo la kilo mbili .. basi Ukiingia unakuta Choo kimechachawa na kinyesi lundo Kiukweli sikufurahia hiki kitu