Nyumba za kupanga, tabia iliyonikera ni Mtu mzima na akili zake anaingia choon na maji nusu jagi Alafu anaenda kushusha zigo la kilo mbili, wewe je ?

Nyumba za kupanga, tabia iliyonikera ni Mtu mzima na akili zake anaingia choon na maji nusu jagi Alafu anaenda kushusha zigo la kilo mbili, wewe je ?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Enzi hizo nasoma chuo nilipanga geto, niliishi nyumb in watu wazima kidogo, Mtu na akili zake anatoka nje na taulo anaenda anaingia choon na maji nusu jagi Alafu anaenda kushusha zigo la kilo mbili .. basi Ukiingia unakuta Choo kimechachawa na kinyesi lundo Kiukweli sikufurahia hiki kitu
 
Kinachouma zaidi ni pale unaingia chooni na kukuta zigo la week nzima juu ambalo halijaflashiwa,,

Ukitoka humo bila jitihada za kuliflash ,,
Kesi ni yako wewe mtu wa mwisho kuingia chooni.,
 
Huyo kajitahidi,waliozea kwenda vichakani ndio issue zao
 
Enzi hizo nasoma chuo nilipanga geto, niliishi nyumb in watu wazima kidogo, Mtu na akili zake anatoka nje na taulo anaenda anaingia choon na maji nusu jagi Alafu anaenda kushusha zigo la kilo mbili .. basi Ukiingia unakuta Choo kimechachawa na kinyesi lundo Kiukweli sikufurahia hiki kitu
Dawa ya watu kama hao ni kuwawekea choo cha kukaa sababu choo cha kukaa hakimalizi haja.
 
Mi juzi juzi nimeibiwa simu ndani na mtoto wa Mwenye nyumba,asubuhi nalalamika Kwa mama Mwenye nyumba Kwa home Kwake Hapana usalama then nikitoka Kwake niende toa taarifa Kwa balozi....Ile naingia ndani nijiandae nasikia hodi ....nitoke nje kuwakaribisha..nakutana na sura kavu ya Mwenye nyumba na balozi nimeshtakiwa na mama Mwenye nyumba eti kwanini kanisitiri Kwenye nyumba yake then Mimi natoa kauli Kuwa nyumba aina usalama😳 .....kiwanja ninacho jamani 😥 yakujengea ndo tatizo🤦
 
Back
Top Bottom