Mi nilikuwa mtu wa mazoezi sana ,yani ikifika jioni mi nachukua sportswear zangu kibati gym.Sasa kuna mdada(ila ni mke wa mtu) alikuwa mkabala kwenye room yangu ,mkitoka tu mnaonana macho kwa macho.
Sasa kuna siku mi nimetoka zangu tizi fresh nikapita kwenye corridor gafla nashangaa sis ananisifia "we mkaka tuwe tunaenda wote huko mazoezini kwa sababu so kwa body fitness hio" mi nikamwambia haina shida kesho asubuhi(ilikuwa jumamosi) mapema twende kwasababu hamna watu wengi.
Sasa ile kuamka akaja nishtua saa 12 hio bwana ake kasepa ,vinguo vyetu vile vya mazoezi simnavijua tena vinavyobana(kumbe mzigo asubuhi upo 5G ila mimi sikujali wala nini) kutoka nashangaa dem anaangali chini huku akitabasam kwa kuibiaibia,akaniuliza "hivi utafika kweli kwa kukaza huko"🤣.Aisee nilichukua mzigo nikaushindilia katikati ya miguu hakuamini,ila baada ya kurudi nashangaa jitu linaanza mazoea ya kuja kuomba eti anaomba video za mazoezi 🤣 nikajisemea huyu anachokitafuta anakijua mwenyewe.
Yule dem nilijisevia mpaka naondoka pale ,aisee madem za watu wakienda kwa wadau wengine wananyumbulika so poa, kwasababu bwana ake alikuwa anamlalamikia kila siku kuwa hayupo kama alivyo zamani kwenye game.Ila Catherine popote ulipo nakushukuru sana ,kipindi kile sikuwa na pesa ila ulikuwa unani bless kishkaji sana🤣