Jamani, wamiliki wa nyumba za wageni jaribuni kupunguza kidogo gharama za vyumba. Unajua inakera sana kuona umetoka kwenye nyumba fulani (chumba Tsh. 25,000) ukienda tena baada ya wiki moja unaambiwa 30,000 na kibaya zaidi akishaona umeongozana na demu wako.
Tuoneane huruma jamani, hali yenyewe ngumu!!!!
Acha uzinzi na umalaya hizo gharama hutaziona wala kuzisikia hata siku moja!!! Guest watafuta nini wewe?? Huna nyumba??? Huna Mke??? aakkk kwenda zako bwana.
Mi nakushangaaa sana! sh 30,000 ni pesa hiyo! acha utani, we endelea kuchakachua
Anaenda kupunguza stress mama, sio lazima apunguzie getoni kwake atapeleka wa ngapi?
hiyo gharama ya kuupata msitu Dar si utatumia mafuta tenki nzimaNenda msituni.