Speaker
JF-Expert Member
- Aug 12, 2010
- 6,324
- 2,240
Jamani, wamiliki wa nyumba za wageni jaribuni kupunguza kidogo gharama za vyumba. Unajua inakera sana kuona umetoka kwenye nyumba fulani (chumba Tsh. 25,000) ukienda tena baada ya wiki moja unaambiwa 30,000 na kibaya zaidi akishaona umeongozana na demu wako.
Tuoneane huruma jamani, hali yenyewe ngumu!!!!
Inaonekana we unasafiri sana eh?
maana sikumbuki mara ya mwisho kulala kwenye hizo nyumba ni lini!
Naskia siku hizi sio za wageni tena ila ni za wezi wa wake za watu