Diamond Platnum
Sasa wanataka kumuua, ndio auze nyumba? Polisi wanafanya kazi gani?
Usije kuta hao wa nje ni biashara haramu tunawakosoa wa kwetu kumbe ni halali yao so huwezi fananisha!
Nilisoma mahali kuwa Bongo Fleva inakubalika sana hata nje ya mipaka. Kila nikienda Nairobi nyimbo hata za Mr. Nice bado zinapendwa sana na kupigwa. Hizi za ss hivi ndo utafkiria wamelogezewa.
Alienda Diamond tamasha huko akalipwa mara kadhaa ya hao nguli wa Kenya! So, how come hao wa nje wawazidi mali hivyo. Tena wa Uganda?!
Lakini amrjitahidi sana ameeashinda wanamziki wa zamani kama TID bado anakaa kwao.
Diamond yuko juu kwasasa angetumia kipindi hiki kuongeza kipato nje ya music kama simu au bodaboda zikatoka kwa jina lake, wachina hawana uchoyo.
Sasa wanataka kumuua, ndio auze nyumba? Polisi wanafanya kazi gani?
biashara ya kubeba unga haina meneja ina wafadhili tu!sasa huyo meneja gani alisema hayo?...si kila mwanamuziki mwenye pesa anaipatia kwenye music!wangapi wanajua kama ney alikuwa kinyozi wakati anajisomesha mbezi beach secondary na pakulala alikuwa hana...
A few weeks back, artiste Jaguar released a picture of his garage, taken from what appeared to be his bedroom window.Jose cameleon
....a big insult to all average tanzanians who hustle hard, sweat and tears....
....a big insult to all average tanzanians who hustle hard, sweat and tears....
Bora hata hao wana nyumba ila hazijaisha.Kuna wengine hata hawana mawazo yakununua viwanja
mkuu una ugomvi na T.I.D nini?kuna habari kuwa kwao ndo kinara wa kuuliza''mama umepika mboga gani''wakati hajachangia hata viungo.Ndevu zimeota mpk ukoko dume bado yupo home km anapapenda sana kino aende Hananasif kuna vyumba mpk vya buku30 kwa mwezi.....#StopSniffing
Huyu jamaa si nasikia kapanga tu hapo??
Sitawaonea haya hata kidogo,ni mabanda tu.
...doesn't change the fact...its an insult to average person with such house...