Nyumba za wasanii wetu

Nyumba za wasanii wetu

Usije kuta hao wa nje ni biashara haramu tunawakosoa wa kwetu kumbe ni halali yao so huwezi fananisha!

Nilisoma mahali kuwa Bongo Fleva inakubalika sana hata nje ya mipaka. Kila nikienda Nairobi nyimbo hata za Mr. Nice bado zinapendwa sana na kupigwa. Hizi za ss hivi ndo utafkiria wamelogezewa.

Alienda Diamond tamasha huko akalipwa mara kadhaa ya hao nguli wa Kenya! So, how come hao wa nje wawazidi mali hivyo. Tena wa Uganda?!

Diamond yuko juu kwasasa angetumia kipindi hiki kuongeza kipato nje ya music kama simu au bodaboda zikatoka kwa jina lake, wachina hawana uchoyo.
 
Nyumba yangu

ShoeHousesouthafrica1.jpg
 
Diamond yuko juu kwasasa angetumia kipindi hiki kuongeza kipato nje ya music kama simu au bodaboda zikatoka kwa jina lake, wachina hawana uchoyo.

Umemshauri jema sana. Kama anapitia humu (au washauri wake) na waubebe fasta. JF kweli kisima cha maarifa 🙂
 
Sasa wanataka kumuua, ndio auze nyumba? Polisi wanafanya kazi gani?

nasikia Dr.Jose ni bingwa wa kukwepa kodi kuna kipindi URA walilichokua gari lake ambalo aliingiza Ug kiujanja'ujanja...sisi wasanii wetu wanaongoza kwa uongo mark x ya 20M atasema kanunua 45m.
 
D'banj alikuwa anapost picha nyumba kubwa inajengwa,huu mwaka wa 3,juzi kafukuzwa kwenye nyumba aliyopanga kwa kushindwa kulipa madeni ya nyuma mpaka waandishi walikwepo jamaa akifukuzwa huku akitolewa kwa nguvu na polisi.
Yale yale ya diamond nyumba haiishi
 
Bora hata hao wana nyumba ila hazijaisha.Kuna wengine hata hawana mawazo yakununua viwanja
 
biashara ya kubeba unga haina meneja ina wafadhili tu!sasa huyo meneja gani alisema hayo?...si kila mwanamuziki mwenye pesa anaipatia kwenye music!wangapi wanajua kama ney alikuwa kinyozi wakati anajisomesha mbezi beach secondary na pakulala alikuwa hana...

Sa si ufurai kapata pa kulala...yan si watanzania hatupendi maendeleo ya wenzetu....basi jamaa fightr kama alianza na ukinyozi...akajisomesha nw kajenga huoni ni busara?
 
Jose cameleon
A few weeks back, artiste Jaguar released a picture of his garage, taken from what appeared to be his bedroom window.
That was the second picture of his car collection to appear online. The first picture was taken from what appeared to be Jaguar’s immediate neighbour’s house. (They share a wall)

Now, this is a picture of Jaguar’s house.[TABLE="width: 620"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][Photo||Ghafla][/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="width: 620"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Recognize the estate?[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
....a big insult to all average tanzanians who hustle hard, sweat and tears....

We are talkin' 'bout bongo flavor musician n' nuh my fellow tanzanians,we are comparing success of bongo flavor vs kenya/uganda artists!
 
Bora hata hao wana nyumba ila hazijaisha.Kuna wengine hata hawana mawazo yakununua viwanja

mkuu una ugomvi na T.I.D nini?kuna habari kuwa kwao ndo kinara wa kuuliza''mama umepika mboga gani''wakati hajachangia hata viungo.Ndevu zimeota mpk ukoko dume bado yupo home km anapapenda sana kino aende Hananasif kuna vyumba mpk vya buku30 kwa mwezi.....#StopSniffing
 
mkuu una ugomvi na T.I.D nini?kuna habari kuwa kwao ndo kinara wa kuuliza''mama umepika mboga gani''wakati hajachangia hata viungo.Ndevu zimeota mpk ukoko dume bado yupo home km anapapenda sana kino aende Hananasif kuna vyumba mpk vya buku30 kwa mwezi.....#StopSniffing

Naanzaje kuwa na ugomvi na Tid?Mtu hata simjui.Mie nimesema kwa watu wote sasa wewe sikuelewi kwanini umefikiria hivyo
 
...doesn't change the fact...its an insult to average person with such house...

mkuu usipanic,Wabongo kwa kujidhihaki ndio zetu eti wenyewe tunasema sisi watu wa wakaida tunajiegesha tu kulala wanalala kina Mwamvita Makamba
 
Back
Top Bottom