Huyu jamaa si nasikia kapanga tu hapo??
Wakimuonyesha kwenye kipindi cha ujenzi.mjengo ni wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa si nasikia kapanga tu hapo??
mkuu usipanic,Wabongo kwa kujidhihaki ndio zetu eti wenyewe tunasema sisi watu wa wakaida tunajiegesha tu kulala wanalala kina Mwamvita Makamba
Tid ni home boy kinondoni yeye na kaka zake bado wanaishi home.
mtu kukosa bakulala enzi hizo haihusiani na maisha yake ya sahivi kwani alikuwa anatafuta sahivi kapata
Sa si ufurai kapata pa kulala...yan si watanzania hatupendi maendeleo ya wenzetu....basi jamaa fightr kama alianza na ukinyozi...akajisomesha nw kajenga huoni ni busara?
no hate at all!hujanielewa...point yangu ni kumshangaa anayejitia meneja wake kimusic kusema jamaa hana nyumba wakati mchzi anahustle long time na mpaka nimesema jamaa punda cuz najua mchizi anarisk kiasi gani kubeba ngada ili aishi good life ni kanuni ya do or die trying ndo ney anaitumia!...goma alilozaa nalo mchizi nalo ni changamoto kwake azidi kupambana!trust me hata leo ney akiacha music hawezi kufulia kwakuwa anachofanya nje ya music japo ni risk kubwa ila inamlipa sana!........hao kina babu talle nao ni zaidi ya music and mind you babu talle na ney ni wanafunzi wa mbezi beach kitambo na kina babu talle inshu za nyeupe katika familia yao siyo leo!kama we town kitambo ulizia marehemu ally zungu!...unganisha dot kuanzia hapo then kwa babu talle halafu unganisha ney wa mitego ndo utajua watu wanaishi zaidi ya ndani ya music
Hatari sana watu kama hao ndio wanaowaombeaga wazazi wao wafe ili warithi mali
Tid ni home boy kinondoni yeye na kaka zake bado wanaishi home.
Hongereni sana wasanii wote mliothubutu kujenga, Angalau mmeonesha mafanikio yenu kwa mashabiki wenu.
Huna ruhusa kuita nyumba ya mwenzio banda la kuku, wakati kajenga kwa shida na kwa jasho lake. Au kwa vile wewe na wengineo mnajenga nyumba zisizo na maelezo ya uhalisia wa kipato sababu ya njia haramu ndo maana UNAKUWA NA JEURI YA KUSEMA BANDA LA KUKU. siku akija rais kama kagame watu watajiharishia kuanzia wana ccm na chadema na wengineo maana itabidi mseme hela zilitoka wapiNilichoona wasanii wa bongo wanamiliki mabanda ya kuku while wenzao wanamiliki Mansion.
mimi kuna watu wengi nawajua wanaishi nyumba za kupanga/apartments lakini nyumba zao wamepangisha kwa sababu wazijuazo wao. Hivyo wanavuta hela ndefu ya kodi isiyo na kodi kwa raha zao. hivyo, usim-judge mtu kwa nyumba ya kupanga anayoishi wengine mjini mipango wanacheza na hesabu naDiamond amepanga pale sinza, labda hiyo nyumba ameinunua leo.
Huna ruhusa kuita nyumba ya mwenzio banda la kuku, wakati kajenga kwa shida na kwa jasho lake. Au kwa vile wewe na wengineo mnajenga nyumba zisizo na maelezo ya uhalisia wa kipato sababu ya njia haramu ndo maana UNAKUWA NA JEURI YA KUSEMA BANDA LA KUKU. siku akija rais kama kagame watu watajiharishia kuanzia wana ccm na chadema na wengineo maana itabidi mseme hela zilitoka wapi
Usiwadanganye wasanii wewe,msanii mkubwa kuishi kwenye nyumba kama hizo wakati wenzao wanaishi kwenye mansion....Hayo ni mabanda ya kuku tu,Hivi ukicheki nyumba ya fili senhe(50 cent) na hizo za wasanii wetu si yanaonekana mabanda ya kufugia kuku? Ninaowauzi hii naifanya kusudi ili muongeze juhudi,big up masanja,prof jay na AY ghorofa ndio majumba ya wasanii.