Nyumba za Yamoto: Sheria inahitajika, Fella adaiwa kuwa kikwazo cha Aslay kwenda Wasafi

Hivi Lavalava bado hawajaamua kumsapoti? Maana hata kibongobongo hajatoboa
 
Ndio maana juma nature aliamsha
 
Hivi Lavalava bado hawajaamua kumsapoti? Maana hata kibongobongo hajatoboa

Mkuu naposema kibongobongo namaana ya kwamba vijana wengi wakishaweza kumiliki gari na nyumba basi wanaamini ndo washamaliza maisha......lavalava hapo kashamaliza
 
aslay ana kipaji zaidi ya diamond.yule dogo namshauri ruge amchukue . akienda wasafi kipaji chake kitazimwa maana hakuna anaemfikia pale.yule dogo ni brand yeye mwenyewe anaitaji promo tu ya kutosha wasafi sio hadhi yake.aslay ni zaidi ya wasafi
Basi kuna wajinga wengine walikuwa wanamwambia maneno kama haya alipokuwa Yamoto band. Leo hii Aslay amekuwa punga sababu ya shida.

Wazee msione vyaelea, huyo Fella mnampa matusi yote ila wasanii wanajua uwezo wake kwenye kusimamia kazi za muziki.

Bado Konde Boy.
 
Punga? Kivipi?
 
aslay ana kipaji zaidi ya diamond.yule dogo namshauri ruge amchukue . akienda wasafi kipaji chake kitazimwa maana hakuna anaemfikia pale.yule dogo ni brand yeye mwenyewe anaitaji promo tu ya kutosha wasafi sio hadhi yake.aslay ni zaidi ya wasafi
Huu utabiri unahema au umekufwaa
 
aslay ana kipaji zaidi ya diamond.yule dogo namshauri ruge amchukue . akienda wasafi kipaji chake kitazimwa maana hakuna anaemfikia pale.yule dogo ni brand yeye mwenyewe anaitaji promo tu ya kutosha wasafi sio hadhi yake.aslay ni zaidi ya wasafi
Sometyme huwa mnacomment mkiwa na vodka pembeni ....
 
Doh Aslay ni NGAPULILA siku hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…