Nyumba zaidi ya 30 za Kitanzania ambazo waweza chagua kujenga kulingana na bajeti yako

Mnachanganua pia zile dizaini za nyumba kutoka kwa wapiga kura wa ******?
 
Samahani mkuu gharama ya nyumba ni tofali na paa pekee?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Samahani mkuu gharama ya nyumba ni tofali na paa pekee?


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hello ukihutaji kujua gharama ya kipesa ya kujenga nyumba

Twaweza kukuandalia makisio ya gharama kwa nyumba specific hizo au kama unayo yako

-- nyumba ya kawaida 25,000/=
-- ghorofa 100,000/=

Ndani ya Massa 24 unapata

+255-657-685-268 WhatsApp
 
nitawatafuta,ndani ya mwaka huu
 
vizuri
 

Asante sana, tutakutafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…