Nyumba zaidi ya 30 za Kitanzania ambazo waweza chagua kujenga kulingana na bajeti yako

Nyumba zaidi ya 30 za Kitanzania ambazo waweza chagua kujenga kulingana na bajeti yako

Naomba ushauri kwenu kama mdau wa maendeleo, hivi ni gage ipi nzuri na imara ya bati inayofaa kwa kujengea ? Sina utaalamu sana katika mabati
 
Hongereni sana.... Picha kwenye hilo bandiko la pili hazionekani vzr, namna gani mtanisaidia ili niweze kuziona sawia na kuchagua?
 
Tangazo kiwango Cha Harvard,naomba kujua ,kwa Nini no 17 inatumia tofali nyingi hivi...naupenda huu mtindo....jina?!
 
Nyumba Nafuuu

Katika eneo linalojitahidi hasa kwa vijana kuajiri ni hili la kuchora ramani. Congrats

Kuna mambo mnatakiwa kuyaboresha kwa ushauri tu.
Kwanza, msitazame nyumba kubwa kubwa, fikirieni pia nyumba ''nafuu'' kwa maana inayoweza kuhifadhi familia kulingana na kipato. Mfano, unaweza kufikiria nyumba ya ''vyumba 3'' kwa jicho la ku accomodate familia ndogo ikiwa na huduma zote.

Pili, fikirieni si kuwa na ramani tu, bali utaalamu wa maeneo mengine kwa kushirikiana
Mfano, ikiwa mnachora ramani, muweze pia kuwa na ushirika na Engineer, fundi bomba na umeme, na mafundi wa ujenzi wataalamu si wachanganya sementi tu ili makadirio yakitokayanakuwa ya jumla

Fikirieni '' town house'' n.k.

Tatu, mnaweza kuwa na ushirika na watengeneza matofali yenye ubora na kiwango

Hoja yangu kubwa ni kuwa gharama haziwezi kupimwa kwa matofali na mabati tu.

Mtu akipewa estimate ya milioni 10, 40, 60, 80 n.k. atakuwa katika nafasi ya kujiridhisha kuwa kiwango husika kitatosha katika maeneo yote na kwamba hatakuwa na sababu za kukimbizana na mafundi.

Siyo lazima mfanye ninyi kila kitu, muhimu ni kuwa na ''connection' za maana, kwamba, ubora wa ramani zenu uambatane na ubora wa vingine! kama utanielewa.

Hili litawezekana kama hamtakuwa wachoyo kwa ku sub contract kazi nyingine chini ya mwamvuli wenu! it's possible

Natamani sana kungekuwa na qualified and registered company za mafundi umeme, (Engineer na Technician), Plumbers na sewerage wanaojua kazi zao ili kutuepusha na vishoka.
Vijana hasa graduate na Technicians mlio na uzoefu mumefikiria haya?
 
Mkuu mchoro pekee hauamui idadi ya materials hasa kwa msingi, so be carefull kwa hilo
Absolutely kuna jamaa alituambia kwa mujibu wa calculation zake Foundation itachukua tofali 700-100 za kuchoma matokeo yake ukala 1500
 
Mkuu hebu fafanua hapo nyumba ya kapadia ya namna gain vyumba vingapi.
Hello ukihutaji kujua gharama ya kipesa ya kujenga nyumba

Twaweza kukuandalia makisio ya gharama kwa nyumba specific hizo au kama unayo yako

-- nyumba ya kawaida 25,000/=
-- ghorofa 100,000/=

Ndani ya Massa 24 unapata

+255-657-685-268 WhatsApp

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Team yetu ya DESIGNERS na MAFUNDI ni kubwa sana na tunahusika na: RAMANI ZA NYUMBA ZA KISASA, UJENZI WA NYUMBA, UFUNDI FINISHING, UFUNDI BUSTANI NA MANDHARI... ambapo mafundi na wataalamu wetu wanasafiri kwenda kujenga popote pale Tanzania na EA!


Bei zetu zipo kwa VIWANGO TOFAUTI tofauti ikiwa na maana wya kwamba wapo mafundi wenye gharama nafuu na pia wapo mafundi waliojikita ktk kuhakikisha ubora wa kiwango cha juu kwa ujenzi wako... Huwezi kosa fundi kwetu ambaye hakutoshi!

TUNATAFUTA MAWAKALA ambao watasaidia kusogeza huduma zetu za ujenzi maeneo mbalimbali Tanzania ili watu wengi wanufaike... ambapo wakala akileta mteja basi ataweza pata GAWIO LA ~10% KWA KILA MTEJA tunayemfanyia kazi!

Mgawanyiko wa magawio
  • huduma za ramani za nyumba ni 10% (ramani zetu zinaanzia Tshs.250,000 - 2,000,000/=)
  • huduma za ufundi ni 5% (ada ya ufundi zinakwenda around Tshs.500,000-10,000,000/=)

Huduma zetu ni zifuatazo
  • ramani za nyumba za kisasa na makadirio gharama na vifaa (tunazo ramani zaidi ya 250 full zilizotayari, na pia tunaandaa ramani kulingana na wazo la mtu!)
  • huduma za ujenzi wa nyumba boma (msingi, kuta, plasta na paa)
  • huduma za finishing za nyumba (rangi, tiles, mafundi bomba, mashimo choo, dari, madirisha, milango, umeme...)
  • huduma za bustani na mandhari (bustani na viwanja vya mapumziko, vibanda vya mapumziko, migahawa ya bustanini, sebure za bustanini, majiko ya nje ya nyumba, maeneo ya michezo, mabwawa ya kuogelea, mashimo ya kuotea moto, maeneo ya kuchomea nyama, nyua na vibaraza, sitaha, sehemu za maegesho ya magari, njia za kupita, nyumba za vivuli, wigo, taa za nje, Kamba za kuanikia nguo, malango, majabari, vilima vya udongo, madimbwi, mifereji, nyumba za kuoteshea mimea, mifumo ya umwagiliaji maji, uvunaji wa maji ya mvua, visima, chemchemi, maporomoko ya maji, upandaji wa miti na mimea...)

Aina ya watu wanaofaa kuwa mawakala
  • mafundi ujenzi
  • designers
  • Youtubers, Instagramers, group admins, blogers
  • watu wenye maduka ya hardware/ vifaa vya ujenzi
  • mtu yeyote unayehusika na huduma za ujenzi wa nyumba
  • mfanyakazi na mtumishi ofisini kwako (unatuunganisha na wafanyakazi wenzako baada ya kuwaelekeza kuhusu huduma zetu)
  • mtu yeyote mwenye hobby ya mambo ya ujenzi wa nyumba

Wateja wako wanapataje huduma zetu?
  • kwa ramani tunatuma softcopy PDF ktk email/WhatsApp na printed files inatumwa kwa njia ya posta EMS
  • kwa huduma za ufundi: mafundi wanasafiri kuja kukujengea popote Tanzania na EA (mteja atachangia gharama za nauli na pia kuandaa sehemu ya kawaida tuu ya mafundi kulala na [chakula ni juu ya mafundi wenyewe])

Tembelea website ktk kipeperushi chetu hapo
au
piga simu: +255-657-685-268



KUWA WAKALA MAKAZI.jpg

HARDWARE KUWA WAKALA.jpg
ANZISHA BIASHARA KAZINI.jpg
 
Mimi sipo katika sekta ya ujenzi, ila nataka tu niwatafutie wateja, nitapata hiyo kamisheni?
 
Fahamu gharama ujenzi wa nyumba yako kwa kila steji kama MSINGI, KUTA, PAA, RANGI, DARI, MAJI, UMEME... ili uweze fanya tathimini ya uwezo wako kama upo chini au juu sanaaa na uanze kuweka mipango mikakati vyema ya kuweza kufanikisha ujenzi wa nyumba yako!

Kwanini ujenge nyumba ambayo hutaimudu gharama
Au
Ambayo ipi chini ya uwezo wako ambapo ungeweza Jenga nzuri zaidi ambayo utaimudu

Ukijenga kitu ambacho utaweza midi gharama basi ule msemo WA 'UJENZI NYUMBA HAIISHI' basi utafutika Kwako maana its maliza vyema nyumba yako!

+255-657-685-268

FAHAMU%20MAKISIO%20GHARAMA%20UJENZI.jpg
 
Una ramani za nyumba ya two bedroom kila chumba self? Ikiwezekana iwe kajighorofa...yaani master bedroom iwe juu
 
Una ramani za nyumba ya two bedroom kila chumba self? Ikiwezekana iwe kajighorofa...yaani master bedroom iwe juu
Yes tunazo jumla ya nyumba zaidi ya 250 zikiwa full Ramani na vipimo na michoro yote na unapata Popote ulipo Tanzania na Nje ya Nchi kama Foreigner au Diaspora

Nitafute WhatsApp +255-657-685-268
 
Zipo nyumba aina 3
  • CHUMBA KIMOJA: chumba kimoja cha kulala, sebule-dining-jiko, choo-bafu, veranda
  • VYUMBA VIWILI: vyumba vya kulala 2, sebule-dining-jiko, choo-bafu, veranda
  • VYUMBA VITATU: chumba master, vyumba 2 vya kulala , sebule-dining-jiko, choo-bafu, veranda

  • IMG_16417097464395114.jpg

Ramani chumba kimoja 1BHK


GridArt_20220111_041105074.jpg

Ramani vyumba viwili 2BHK
GridArt_20220110_225137237.jpg


PIA TUNAZO RAMANI ZA NYUMBA NYINGINE ZAIDI YA 300 UNAZOWEZA PATA NA UZIJENGE POPOTE TANZANIA NA AFRIKA
Tunazo Ramani nyingi zaidi ya 300 zenye picha, michoro, makisio gharama, vipimo... ambazo unaweza chagua na kuzinunua... Ramani zetu tunauza nchi zote Afrika na baadhi worldwide kwa kupitia website zetu... siwezi weka link hapa sababu nitakuwa-banned
Ila
Fanya Hivi Kuchagua na Kupata Ramani Zetu
👇👇👇

👉 Nenda Google search: MAKAZI RAMANI
👉 Nenda Play Store pakua App yetu: MAKAZI RAMANI
👉 Nenda YouTube channel: MAKAZI NETWORK

Au

Nione WhatsApp nikupe links ktk namba: +255-657-685-268
 
Back
Top Bottom