Anita Kajembe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2021
- 215
- 487
Unaishi kwenye nyumba choo kiko nje, usiku wa mvua kubwa ukitaka kwenda kujisaidia ni lazima maji ya mvua yaguse ngozi. Vyoo vingine havina mapaa, ukiwa unajisaidia mvua haikwepeki.
Asubuhi unakwenda kuoga na taulo, wanaopita njia wanajua ndiyo unaoga, na taulo lako kila mtu analijua rangi yake.
Nyumba hizi hazina baseni la kunawia. Kusafisha meno inabidi utoke na bakuli lako au unakwenda bafuni na mswaki. Ukimaliza kuutumia huna pa kuuweka, unauchomeka kati kati ya matofali.
Ningekua na uwezo ningeweka sheria, kila anaejenga nyumba ni lazima iwe self contained.