Nyumba zenye choo cha shimo, choo cha nje zimepitwa na wakati

Nyumba zenye choo cha shimo, choo cha nje zimepitwa na wakati

Mtoa mada sijui umeongea kwa kuwaza nini mpaka ukafikia kutoa kauli hizo.
Uwezo wa watz wengi ni mdogo hivyo kushindwa kuweka choo cha ndani maana mifumo yake ina gharama tofauti na choo cha nje. Kuhusu choo kiweje ndio ulitakiwa kuconcentrate hapo. Kuna kampeni ya nyumba ni choo wanaamasisha kujenga choo safi ambacho maji hayatuhami

Tumekuzwa na hivyo vyoo vya shimo na vya nje. Uchumi unavyoimarika watu wataji-upgrade automatically ila kwa sasa bado. Watu wanaishi nyumba ya makuti watawezaje mifumo ya choo cha ndani?
 
Choo cha nje kina raha yake, yaani demu kavaa dela bila chupi kajifunga taulo kiunoni ukute nae ana tako akipita wapangaji wote kimya, kama kuna mtu anaongea na simu utasikia halohalo yaani network hamna
 
Back
Top Bottom