Anita Kajembe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2021
- 215
- 487
Ni afya usipo mbona unamuona daktari.Mnapenda kunyer.
Tutawasaidiaje?Ndiyo uwezo wao...
Mkuu kwani hayo uliyoongea Zama hizi za kwenu ndo yamejitokeza. Mababu waliishije kwani. Choo cha shimo ni kizuri kuliko hicho Cha kukaa nikuambie kiafya kimaradhi kinazuia. Pia pole mwili wako kuwa muoga Sana. Unaogopa mvua kweli Ila dunia hii. Hivi ikitokea kikinuka ukakimbilia porini mwezi mzima na huku mvua inaonyesha kweli uta survive mkuu. Sema hata huwezi tembea 10km uta faint naona.Unaishi kwenye nyumba choo kiko nje, usiku wa mvua kubwa ukitaka kwenda kujisaidia ni lazima maji ya mvua yaguse ngozi. Vyoo vingine havina mapaa, ukiwa unajisaidia mvua haikwepeki.
Asubuhi unakwenda kuoga na taulo, wanaopita njia wanajua ndiyo unaoga, na taulo lako kila mtu analijua rangi yake.
Nyumba hizi hazina baseni la kunawia. Kusafisha meno inabidi utoke na bakuli lako au unakwenda bafuni na mswaki. Ukimaliza kuutumia huna pa kuuweka, unauchomeka kati kati ya matofali.
Ningekua na uwezo ningeweka sheria, kila anaejenga nyumba ni lazima iwe self contained.
View attachment 1846351
Kwa maoni yako ni kuwa tuishi kama babu zetu walivyoishi, hata ndege tusipande, ukiugua usifanyiwe MRI scan kujua kiini cha tatizo. Hata hiyo devise unayotumia kuandika ujumbe huu hukupaswa kuwa nayo.Mkuu kwani hayo uliyoongea Zama hizi za kwenu ndo yamejitokeza. Mababu waliishije kwani.
Choo ch shimo ni kizuri kuliko icho Cha kukaa nikuambie kiafya kimaradhi kinazuia.pia pole mwili wako kuwa muoga Sana. Unaogopa mvua kweli Ila dunia hii. Ivi ikitokea kikinuka ukakimbilia porini mwezi mzima na huku mvua inaonyesha kweli uta survive mkuu.
Sema hata huwezi tembea 10km uta faint naona.
Mie Niko 6yrs nanyeshewa na mvua Tena Ile tena ya mawe mkuu porini hata three hours inaisha jua linapiga nakauka.
Asubuhi Sana nakunywa uji wa ulezi hauna sukari na mboga za majani Zina chumvi tu na viazi naenda kuchunga mpka jioni ndo narudisha ng'ombe home.
Huko machungani mtachoma ndizi,mtakula matunda porini. So nadhani nili develop immunity since my early childhood life. Mana soda nimekuja kunywa Niko above 10yrs.
Pia umeongea kitoto Sana ama kilimbukeni kisa labda unacho choo Cha ndani. Kwani hujui hao wanaotumia hivyo vyoo pia smt ni ishu ya maisha.
Mana maisha huyalazimishi yawe Kama unavyotaka.
Yaani umeongea Kama wale watoto wanaowacheka wenzao kuwa nyie baba yenu Hana gari, mnamaliza mwaka hamjala kuku.
Kaka nakuona umekua kimwili tuuu but still you are less mentally matured.. Unadhani kuna watu wanaopenda kuishi maisha ya chini?? Unadhani ukiwa umebarikiwa kuwa msomi na kuajiriwa/kujiajiri ndo watu wote walivyoo?? Kaka we wa nchi gani?? Na mwaka gani umezaliwa??Kwa maoni yako ni kuwa tuishi kama babu zetu walivyoishi, hata ndege tusipande, ukiugua usifanyiwe MRI scan kujua kiini cha tatizo. Hata hiyo devise unayotumia kuandika ujumbe huu hukupaswa kuwa nayo.
Ninafahamu kiafya choo kinatoka vizuri ukiwa umechuchumaa. Basi tujisogeze hata kwa Indian toilets mradi kiwe ni cha ndani. Kuna dignity, unaenda chooni na kopo asubuhi, Mangi akiwa anafungua duka lake anakuona, na mama kuuza uji pia alikuona.
Nina hoja ya kuboresha maisha kutoka zama za Kinjekitile Ngwale.
HahahhahaMnapenda kunyer.
Imagine una sherehe au msiba nk kwa hiyo watu wote watajazana kunyer ndani? Mwambieni mtoa mada aache utoto,ajenge kwanza ndo aanze kuongeaMkuu kwani hayo uliyoongea Zama hizi za kwenu ndo yamejitokeza. Mababu waliishije kwani.
Choo ch shimo ni kizuri kuliko icho Cha kukaa nikuambie kiafya kimaradhi kinazuia.pia pole mwili wako kuwa muoga Sana. Unaogopa mvua kweli Ila dunia hii. Ivi ikitokea kikinuka ukakimbilia porini mwezi mzima na huku mvua inaonyesha kweli uta survive mkuu.
Sema hata huwezi tembea 10km uta faint naona.
Mie Niko 6yrs nanyeshewa na mvua Tena Ile tena ya mawe mkuu porini hata three hours inaisha jua linapiga nakauka.
Asubuhi Sana nakunywa uji wa ulezi hauna sukari na mboga za majani Zina chumvi tu na viazi naenda kuchunga mpka jioni ndo narudisha ng'ombe home.
Huko machungani mtachoma ndizi,mtakula matunda porini. So nadhani nili develop immunity since my early childhood life. Mana soda nimekuja kunywa Niko above 10yrs.
Pia umeongea kitoto Sana ama kilimbukeni kisa labda unacho choo Cha ndani. Kwani hujui hao wanaotumia hivyo vyoo pia smt ni ishu ya maisha.
Mana maisha huyalazimishi yawe Kama unavyotaka.
Yaani umeongea Kama wale watoto wanaowacheka wenzao kuwa nyie baba yenu Hana gari, mnamaliza mwaka hamjala kuku.
Kwani unakatazwa kuweka choo cha kuvuta nje?Imagine una sherehe au msiba nk kwa hiyo watu wote watajazana kunyer ndani? Mwambieni mtoa mada aache utoto,ajenge kwanza ndo aanze kuongea
Hama huko uepuke.Unaishi kwenye nyumba choo kiko nje, usiku wa mvua kubwa ukitaka kwenda kujisaidia ni lazima maji ya mvua yaguse ngozi. Vyoo vingine havina mapaa, ukiwa unajisaidia mvua haikwepeki.
Asubuhi unakwenda kuoga na taulo, wanaopita njia wanajua ndiyo unaoga, na taulo lako kila mtu analijua rangi yake.
Nyumba hizi hazina baseni la kunawia. Kusafisha meno inabidi utoke na bakuli lako au unakwenda bafuni na mswaki. Ukimaliza kuutumia huna pa kuuweka, unauchomeka kati kati ya matofali.
Ningekua na uwezo ningeweka sheria, kila anaejenga nyumba ni lazima iwe self contained.
View attachment 1846351
Itakapotokea sherehe yyt aidha msiba,harusi hao wagen wako wote uwakimbize choo cha ndani...
Binafsi nahic choo cha ndani ni kwa matumiz ya kifamilia na night
Vyote ulivyoviandika vinaishia kwenye UWEZO WA MTU KIUCHUMIUnaishi kwenye nyumba choo kiko nje, usiku wa mvua kubwa ukitaka kwenda kujisaidia ni lazima maji ya mvua yaguse ngozi. Vyoo vingine havina mapaa, ukiwa unajisaidia mvua haikwepeki.