Nyumba zilizopo kanda ya ziwa ni kama mapiramidi ya Egypt

Nyumba zilizopo kanda ya ziwa ni kama mapiramidi ya Egypt

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Aisee ujenzi wa kanda ya ziwa unaweza kujiuliza yule fundi kafikaje juu ya paa.

Nyumba inajengwa vizuri ila upande wa kuweka bati ilibaki kidogo kuwa na usawa wa gorofa moja.

images%20(41).jpg
 
Halafu mikoa mingi kwa sasa bati wanataka za rangi lakini migongo midogo tu ndio ziko kwenye trend
 
Ingekuwa dar tungesema wanazuia uchakavu wa bati mapema maana unyevu wa mvuke wa bahari unachumvi so bati ikienda juu haitunzi viumande umande
 
Aisee ujenzi wa kanda ya ziwa unaweza kujiuliza yule fundi kafikaje juu ya paa...
Ni mashindano kwakwenda mbele, yapo mapaa kati ya Dumila Morogoro na Dodoma mengine ukitazama unacheka bila kutaka.

Mengine yapo kama mzura, mengine kama mpama, mengine kama baraghashia alimradi tu hafanani na jirani yake.

Ila siku fasheni ikichuja watatafutana maana contemporary inakuja kwa kasi hivi sasa
 
Ni mashindano kwakwenda mbele, yapo mapaa kati ya Dumila Morogoro na Dodoma mengine ukitazama unacheka bila kutaka..

Haipo siku contemporary itaipiga chini paa la bati kutokeza
 
Back
Top Bottom