Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Ikitokea leakage kidogo tu gharama ya kwenda kurekebisha ni kubwa sana maana risk ya fundi kufyatuka ni kubwaAisee ujenzi wa kanda ya ziwa unaweza kujiuliza yule fundi kafikaje juu ya paa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikitokea leakage kidogo tu gharama ya kwenda kurekebisha ni kubwa sana maana risk ya fundi kufyatuka ni kubwaAisee ujenzi wa kanda ya ziwa unaweza kujiuliza yule fundi kafikaje juu ya paa...
Wanaita fahari ya macho hakuna sababu ya msingi, nchi za wenzetu wanafanya hivyo lakini huko darini wanakutumia kwa shughuli zingineSipendi Paaa la kuchongoka miye.
AiseeMapaa ya ukanda wa magharibi na kanda ya ziwa hatari tupu, na tatizo linaanzia kwa watu kujenga nyumba fupi na kulazimisha mapaa marefu
Kwanini usiandike kingereza tu maneno yote?Ni Ile tu mtu hajui yaani elimu ya ujenzi Hana.
Pia rangi hawajui watumie zipi kutokana na tuko ukanda gani kuwa Ni wa ikweta na tropic kwa mbali.
Yes ,Kuna kuigana na ulimbukeni kwa mbali. Ndefu ivyo hata ikija strong wind nadhani mnajua mliosoma fizikia. Kiukweli mwenye hela hajasoma smt utamuona kwa mbali Mambo yake na doubt am not sure may be am biased. Mtu akipata hela na Ni la Saba like gepu la kuzidiwa elimu anaanza kujifariji anatafuta namna fulani hata elimu ya kununua Mana ana feel Inadequacy in his souls,so anakuwa anatafuta how to counteract or counterbalance his emotions equilibrium.
Wengine wanakuja kutoa maumivu yao kuwa wale waliokuwa wa kwanza class saivi wako wapi na wanafanya Nini by nature binadamu ana wivu/envy Kama alivyo na damu nyekundu so huwezi kubadilisha nature ya brain zetu.
Sasa Mana alikuwa anaumia kutokuwa wa kwanza anaamua kutema nyongo nje Mana amebeba maumivu makali mno ya kuwa kilaza saivi akapata hela anajiona mjanja na huku hawezi Jenga ghorofa bila ya wasomi,Figo yake ikiharibika atapigia magoti wasomi kuwa wamsadie.
Watu hatutaki kukubali ukweli mie siwezi ichi na fulani anakiweza Ile ku boost ego and self image Basi mtu anajifanya smart kwa kuwa multipurpose
Aisee ujenzi wa kanda ya ziwa unaweza kujiuliza yule fundi kafikaje juu ya paa.
Mkuu our brain zinatofautiana Kama tunavyotofautiana physical appearance.sKwanini usiandike kingereza tu maneno yote?
Huu ujenzi wa hivi umeanza miaka ya karibuni,mafundi wanadai kuwa ujenzi huu unasaidia mabati kutokupata kutu haraka,sasa sijui kuna research wamefanya au ni mambo yao tu ya kutunga....Mbona Dar nyingi tu zinajengwa za mtindo huo
Sio rahisi. Paa kutokeza is more modern than hidden. Hii style ni ya enzi na enzi. Style zote zitapita lakini si hii ya kuonekana batiHaipo siku contemporary itaipiga chini paa la bati kutokeza
Joto ndio sababu ya msingi ya paa refuHivi sababu ya kujenga hivyo ni nini ?
Contemporary na kuvuja na kurwa na dotoHaipo siku contemporary itaipiga chini paa la bati kutokeza
Hiyo mbona fupi?Ndefu sana
Paa ndefuHiyo mbona fupi?