Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Mbona Dar nyingi tu zinajengwa za mtindo huo
Dari linakuwa ghala la kuhifadhia chakula na misukule.Natania.Hivi sababu ya kujenga hivyo ni nini ?
Sio kuwa kwenye trend, bali uchumi wao mdogo hawawezi ku-afford versetile/romantile.Halafu mikoa mingi kwa sasa bati wanataka za rangi lakini migongo midogo tu ndio ziko kwenye trend
Kweli kabisaHuo ukanda una matetemeko wajiangalie pia
Ni mashindano kwakwenda mbele, yapo mapaa kati ya Dumila Morogoro na Dodoma mengine ukitazama unacheka bila kutaka.Aisee ujenzi wa kanda ya ziwa unaweza kujiuliza yule fundi kafikaje juu ya paa...
Ni mashindano kwakwenda mbele, yapo mapaa kati ya Dumila Morogoro na Dodoma mengine ukitazama unacheka bila kutaka..
Huu mtindo unasaidia kupunguza joto ndani ya nyumba.Aisee ujenzi wa kanda ya ziwa unaweza kujiuliza yule fundi kafikaje juu ya paa...
ππ€£πWa kulaumiwa ni yule wa kwanza aliyepeleka msauzi usukumani