Mapaa ya kishamba sana haya. Inakuwaje paa liwe refu kupita urefu wa ukuta wa nyumba?Mapaa ya ukanda wa magharibi na kanda ya ziwa hatari tupu, na tatizo linaanzia kwa watu kujenga nyumba fupi na kulazimisha mapaa marefu
Labda ni kanisa
Hivi hawa wanatumia tofari hizi hizi tunazotumia wengine au wao zao ni ndogo..maana mpaka lenta kuna kozi 15 pamoja na renta 2 harafu juu ya renta kuna kozi nyingine 5Aisee ujenzi wa kanda ya ziwa unaweza kujiuliza yule fundi kafikaje juu ya paa.
Nyumba inajengwa vizuri ila upande wa kuweka bati ilibaki kidogo kuwa na usawa wa gorofa moja.
View attachment 2528266
Kupunguza joto, pia kule darini unaweza kufanya stoo, wazee wa Mbeya tukuyu walijenga sana hivyo zamani kule juu utakuta kuku wanalala kule kuna uhifadhi mahindi na kila aina ya mazao