[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Na Kwenye foleni tutabaki kuliwa.
Huendi mbinguni hakyanani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Na Kwenye foleni tutabaki kuliwa.
Hahaa ... kuanzia leo nitaanza kutumia usafiri wa baiskeli pekeeNa Kwenye foleni tutabaki kuliwa.
Duhh !!!!.....Kuna kitabu kinaitwa Kivuli Kinaishi.
Kuna mhusika anaitwa Bibi Kirembwe. Yeye ndio hakimu, yeye ndio polisi, yeye ndio mtawala, yeye ndio karani, yeye ndio daktari, yeye ndio kila kitu katika nchi ya Giningi.
Wanafasihi watakuwa wanamfahamu, sikukuu njema.
Watu wa Bata utawajua tu [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hotel je
Na Kwenye foleni tutabaki kuliwa.
Hahaa ... kuanzia leo nitaanza kutumia usafiri wa baiskeli pekee
Hapa kwetu tuna BABU KIREMBWEKuna kitabu kinaitwa Kivuli Kinaishi.
Kuna mhusika anaitwa Bibi Kirembwe. Yeye ndio hakimu, yeye ndio polisi, yeye ndio mtawala, yeye ndio karani, yeye ndio daktari, yeye ndio kila kitu katika nchi ya Giningi.
Wanafasihi watakuwa wanamfahamu, sikukuu njema.
Kuliwa kwenye foleni hapakwepeki hivyo sawa.Na mm ntaanza na wewe!
Huendi mbinguni hakyanani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kaakweli kuliwa huko hapana ... mtoto wa kiume uliwe haiwezekani aisee ... halafu yule mzee aliongea kitu ambacho ana experience nachoBora hivyo kama unaogopa kuliwa kwenye foleni