Nyumbani kumenoga

Nyumbani kumenoga

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Kampeni ya *RUDI NYUMBANI KUMENOGA* imeshika kasi.

1. Kwenye ndege tutabaki na ATCL
2. Kwenye TV tutabaki na TBC Pekee
3. Mawasiliano tutabaki na TTCL
4. Elimu tutabaki na shule za Serikali tu
5. Magazeti tutabaki na Daily News na Habari Leo
6. Chama tutabaki na CCM yetu tu.
7. Mihimili tutabaki na Serikali Pekee
8. Ajira rasmi itakuwa ni Serikalini tu
9. Mkoloni wetu mpya atakuwa Mchina
10. Benki yetu itakuwa TPB Pekee

Tanzania Mpya +++
 
Kuna kitabu kinaitwa Kivuli Kinaishi.

Kuna mhusika anaitwa Bibi Kirembwe. Yeye ndio hakimu, yeye ndio polisi, yeye ndio mtawala, yeye ndio karani, yeye ndio daktari, yeye ndio kila kitu katika nchi ya Giningi.

Wanafasihi watakuwa wanamfahamu, sikukuu njema.
 
Duhh !!!!.....
 
Back
Top Bottom