Kaakweli kuliwa huko hapana ... mtoto wa kiume uliwe haiwezekani aisee ... halafu yule mzee aliongea kitu ambacho ana experience nacho
AiseeNitaenda jamani
Haha .. kwahiyo umeliwa ..!!! kwakweli nilisahau " nilazima ajue maana anavyanzo vingi vya kumfikishia taarifaMkuu lazima ajue kila kinachoendelea nchini mwake.
Kama leo nimeliwa kwenye foleni hadi nikachelewa nilipokuwa naenda.
Haha .. kwahiyo umeliwa ..!!! kwakweli nilisahau " nilazima ajue maana anavyanzo vingi vya kumfikishia taarifa
Wakati ujao " ukipatwa na foleni na mimi niite ni kule tafadhaliNimeliwa tena zaidi ya lisaa, sehemu ya dakk 15
Jiandae na kulipia ushuru na boda boda sheria yao inakuja tunatafuta chanzo cha mapatoHahaa ... kuanzia leo nitaanza kutumia usafiri wa baiskeli pekee
.Kuna kitabu kinaitwa Kivuli Kinaishi.
Kuna mhusika anaitwa Bibi Kirembwe. Yeye ndio hakimu, yeye ndio polisi, yeye ndio mtawala, yeye ndio karani, yeye ndio daktari, yeye ndio kila kitu katika nchi ya Giningi.
Wanafasihi watakuwa wanamfahamu, sikukuu njema.
Sawa mkuu takuitaWakati ujao " ukipatwa na foleni na mimi niite ni kule tafadhali
Daaah! Huyu jiwe ametushika pabayaUmeme itabaki Tanesco pekee...
Barabara itabaki Tanroads pekee...
Ujenzi utabaki TBA pekee...
Bank itabaki Benki ya Posta pekee...
Cc: mahondaw
Karata 3 [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna kitabu kinaitwa Kivuli Kinaishi.
Kuna mhusika anaitwa Bibi Kirembwe. Yeye ndio hakimu, yeye ndio polisi, yeye ndio mtawala, yeye ndio karani, yeye ndio daktari, yeye ndio kila kitu katika nchi ya Giningi.
Wanafasihi watakuwa wanamfahamu, sikukuu njema.
nakusalimia mkuuAisee