Nyumbani kumenoga

Nyumbani kumenoga

Mkuu lazima ajue kila kinachoendelea nchini mwake.
Kama leo nimeliwa kwenye foleni hadi nikachelewa nilipokuwa naenda.
Kaakweli kuliwa huko hapana ... mtoto wa kiume uliwe haiwezekani aisee ... halafu yule mzee aliongea kitu ambacho ana experience nacho
 
Mkuu lazima ajue kila kinachoendelea nchini mwake.
Kama leo nimeliwa kwenye foleni hadi nikachelewa nilipokuwa naenda.
Haha .. kwahiyo umeliwa ..!!! kwakweli nilisahau " nilazima ajue maana anavyanzo vingi vya kumfikishia taarifa
 
Umeme itabaki Tanesco pekee...

Barabara itabaki Tanroads pekee...

Ujenzi utabaki TBA pekee...

Bank itabaki Benki ya Posta pekee...

Cc: mahondaw
 
Kuna kitabu kinaitwa Kivuli Kinaishi.

Kuna mhusika anaitwa Bibi Kirembwe. Yeye ndio hakimu, yeye ndio polisi, yeye ndio mtawala, yeye ndio karani, yeye ndio daktari, yeye ndio kila kitu katika nchi ya Giningi.

Wanafasihi watakuwa wanamfahamu, sikukuu njema.
.
tapatalk_1545804511061.jpeg
 
Kuna kitabu kinaitwa Kivuli Kinaishi.

Kuna mhusika anaitwa Bibi Kirembwe. Yeye ndio hakimu, yeye ndio polisi, yeye ndio mtawala, yeye ndio karani, yeye ndio daktari, yeye ndio kila kitu katika nchi ya Giningi.

Wanafasihi watakuwa wanamfahamu, sikukuu njema.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom