Nyumbani kumenoga

Nyumbani kumenoga

Kuna kitabu kinaitwa Kivuli Kinaishi.

Kuna mhusika anaitwa Bibi Kirembwe. Yeye ndio hakimu, yeye ndio polisi, yeye ndio mtawala, yeye ndio karani, yeye ndio daktari, yeye ndio kila kitu katika nchi ya Giningi.

Wanafasihi watakuwa wanamfahamu, sikukuu njema.
......Plz Mtolewa na Wanawali ndyowakna nan mkuu kwa kolomije, je mtolewa atakufa au itatoke vuta n'kuvute Denge atakimbilia uhamishoni na je Fikra za waungwan zitafanya kazi au ndo itabaki Kademokras katoweka"....P1
 
Sijailewa hii tangu juzi najaribu kusoma

Jr[emoji769]
 
Hhhhhh!!! mku io ni fasih...kuna kitabu kinaitwa "Kivuli kinaishi" kuna mhusika anaitwa Bi kilembwe ni kiongoz wa nchi ya Giningi uongoz wake ni wakidikteta kila kitu anafany yey kiujumla hashaurik pia kuna mhusika Mtolew nae yupo ndani ya serikal ya Giningi aljarbu kufany revolution kumtoa Bi kilembwe madarakan akashndwa akauwaw ila baadae mapinduz yalfanyika automatically..... pia kunakitabu kinaitwa "Vunta N'Kuvute" kuna mhusika anaitwa Denge anapambana na serikali ya kikolon ga Zanzibar kwa hali na mali ila alishndwa aka kimbilia China baada ya kutoroka gerezan......Mkuj ukivsoma vina uhalisia kwa mambo yanago tokea saiz Giningi(serikalin)..ni Riwaya znazo simulia masuala ya utawal mbovu na harakat za wanamapnduz...ivo an Mkuu Mshana Jr.
 
Asante sana ngoja nitulie
1546165628215.jpeg

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom