warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
wajua nimezipenda sana movies hizo coz zinaonyesha maisha halisi tunayoishi sie watanzania wengi, na siyo akina rey wanavyo-act na magar mazuuriii na maghorofa mixer vimini vya kina wema na uzungu mwingiii. Wakati maisha hayo wanayoishi kitakwimu hata 4% ya watanzania haifiki so zinakuwa hazitulengi sanaa zaidi inakuwa kiburudani.
Lakini hizo movies ulizotaja hapo nilikuwa naangalia kidogoro, nikamkubali sana zamaradi kuja na idea kama hiyo ambayo imeonyesha maisha yetu kabisaaa.
Huku kwetu birthday ya mtoto tu, kigodoro na baikoko juu na sasambu hadi unashangaa.
Ray kila siku tajir yeye.kila siku lazima aish ghorofan