Nyumbani Kwanza:Top 3 ya Kikwetukwetu.....


Ray kila siku tajir yeye.kila siku lazima aish ghorofan
 

Attachments

  • 1397838680856.jpg
    45.4 KB · Views: 119
Last edited by a moderator:

Yes...Wanigeria wana zile movies za kijijini na mavazi yao ambazo kuna watz waliiga which didnt make sense at all kwa kwetu hapa...sie nadhani tunaweza kujiidentify na hizi za uswazi...zikaburudisha na kufunza mengi huku tukiuonesha uhalisia wa maisha ya watanzania wengi...
 

Yap kweli kabisa
 

kabisa tena, nadhani watakuwa wamejifunza na kama bado hawajajifunza watakuwa hawataki kuuza.
Wajua watz tunapenda sana movies hzi za kiswazi, mfano kanumba RIP, uncle j j ilimpa jina kabisa apart from all the movies alizozifanya. Kitu ambacho kinaonyesha watanzania wengi wanapenda movies za kiswazi zaidi ya huo uzungu wanaouigiza wao.
Kama uzungu movies bora nichukue hollywood moviea basi, ila tukitaka za kibongo basi tunataka uhalisia kidogo na siyo maigizo mwanzo mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…