Nyumbani ni nyumbani hata kama ni kichakani

Nyumbani ni nyumbani hata kama ni kichakani

To yeye

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
35,686
Reaction score
86,968
Sijui msemo huu unaendana?

Nakumbuka kuna siku nimetoka shule sijavua hata uniform nikaambiwa nikafungue ng'ombe zilipofungwa kwa malisho nizirudishe nyumbani. Kufika pale(kipori Fulani) badala ya kufungua kamba niswage ng'ombe nikakimbilia kichaka kilikuwa na matunda pori (mang'ang'a wanyakyu wanaelewa). Bhanabhana...kumbe pembeni kuna nyuki wa haja ile napeleka mkono tu kushika majani kumbe nimewatikisa😳.

Nilitoka mbio, lakini kumbe nilikuwa nimechelewa walining'ata sana macho, pua, mdomo, masikio na kisogo😏. Ndo hivyo bhana lakini pamoja na kuvimba kote na macho kujifunika kwa mvimbo niliweza kupapasa njia mpaka nikafika nyumbani.

Kilichonifanya nijue nimefika ni vicheko, nilivyopona wakasema walivyoniona tu walishindwa kujizuia kucheka (nadhani mwonekano baada ya kuumuka).

Nyumbani ni nyumbani.
 
Sijui msemo huu unaendana?

Nakumbuka kuna siku nimetoka shule sijavua hata uniform nikaambiwa nikafungue ng'ombe zilipofungwa kwa malisho nizirudishe nyumbani kufika pale(kipori Fulani) badala ya kufungua kamba niswage ng'ombe nikakimbilia kichaka kilikuwa na matunda pori(mang'ang'a wanyakyu wanaelewa) .Bhanabhana...kumbe pembeni kuna nyuki wa haja ile napeleka mkono tu kushika majani kumbe nimewatikisa😳

Nilitoka mbio,lakini kumbe nilikuwa nimechelewa walining'ata sana macho,pua,mdomo,masikio na kisogo😏.....ndo hivyo bhana lakini pamoja na kuvimba kote na macho kujifunika kwa mvimbo niliweza kupapasa njia mpaka nikafika nyumbani.

Kilichonifanya nijue nimefika ni vicheko nilivyopona wakasema walivyoniona tu walishindwa kujizuia kucheka(nadhani mwonekano baada ya kuumuka)

Nyumbani ni nyumban
Msemo hauendani lakini tumekuelewa
 
Back
Top Bottom