Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iko mkoa Pwani hiyoHii nayo ni sehemu ya Tanzania..?
Twende tukapunge upepoDah...Kuna some places nzuri hata Kama una stress zinakata kabisa!kwakweli dah😋😋😋😋!
Dilek njoo hapa...
Nafikaje huko...?Iko mkoa pwani hiyo
Twende tukapunge upepo
Okey, usafiri ni ndege au mitubwi? Tusije kufa kabla ya kufika, Kama ni mitubwiToa nauli wewe na accomodation ....mie nitatoa ya tax kuzurura na msosi
Ninavyojua Mayote mpaka upite Comoro na unaweza toboa mpaka Ufaransa, mwenzi ujao nafanya mpango niingie Comoro, details zaidi nitazipataNafikaje huko...?
Hivi kuna usafiri wa kutoka hapo kwenda Mayotte?
Ndege hatutaenjoy ..twende na boat naskia Sasa hivi Kuna boat sijui meli.mie usafiri wa maji nimeshazoea siogopi. ...twende 28th octOkey,usafiri ni ndege au mitubwi?tusije kufa kabla ya kufika ,Kama ni mitubwi
Ukitaka adventure, tumia usafiri wa boti au mashua lakini kama muoga wa bahari, tumia usafiri wa ndege ambao haupo adventorous at all!!Nafikaje huko...?
Hivi kuna usafiri wa kutoka hapo kwenda Mayotte?
Umenikumbusha huko Mafia... Jojo, Jibondo Chole... EeehWasalimie Kilindoni, Jibondo, Kichangachui, Utende na Chole! Salamu za kipekee ziwafikie Ismailia na Usewe yaliko majiko yangu mazuri wenye rangi rangi!!
Acha mwisho wa mwaka nije huko!!
Nipo SimiyuWe upo wap