mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
We mzee Hivi dunia na njete bado wa huko
Maana kitambo sana
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mzee Hivi dunia na njete bado wa huko
Wooow.. You really enjoyed aisee.. Namiss beach za huko na samakiMafia pako poa sana, and I really miss those old days! Tena ndo vile nilikuwa na ushikaji na watu wa Marine Park, kuna siku mshikaji mmoja akanipa offer ya kwenda kufanya boating kwa kutumia boats zenye kioo kwa chini!
It's a very amazing experience!
Uliibuka na msala gani??Nmekaa sana jibondo kisiwani hpo
Bata nlikuwa nakula hapo kinasi Beach... Bia ndy nilikuwa nazitwanga
Sema hapo nilika lupango wiki 3... Mafia yte nkaichukiaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila, nawamiss watu wangu wa jibondo
Ova
Uvuvi haramuuuUliibuka na msala gani??
Haha Dada unaweza kuvumilia wimbi nyumba?Ndege hatutaenjoy ..twende na boat naskia Sasa hivi Kuna boat sijui meli.mie usafiri wa maji nimeshazoea siogopi. ...twende 28th oct
OH LORD... samaki! Samaki! Samaki!!Wooow.. You really enjoyed aisee.. Namiss beach za huko na samaki
Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
😀😀😀Sina woga kivilee .kila mwez najikuta natumia hizi mambo nimezoeaHaha Dada unaweza kuvumilia wimbi nyumba?
Bahati nzuri kuna meli kipindi hiki cha karibuni.
Kuna stress zikikuniga hata ungepelekwa Brunei hazibanduki.....tuombe neema jameni hasa pesa ya kutosha mfukoni afya njema kwako na kwa familia na ndugu zako wa karibu bila kusahau marafiki...Dah...Kuna some places nzuri hata Kama una stress zinakata kabisa!kwakweli dah😋😋😋😋!
Dilek njoo hapa...
Oohooo...poleKila unaemuona anamilikiwa na mtu mkuu
Labda afya mkuu..lakini.mengine yanatatulikaKuna stress zikikuniga hata ungepelekwa Brunei hazibanduki.....tuombe neema jameni hasa pesa ya kutosha mfukoni afya njema kwako na kwa familia na ndugu zako wa karibu bila kusahau marafiki...
hapo ukienda huko Mafia bata batani saafi
Jamaa kasema ukatalii sio ukaone waremboTuongeze picha,vipi warembo uko,wapo wa kutosha?
Nmekaa sana jibondo kisiwani hpo
Bata nlikuwa nakula hapo kinasi Beach... Bia ndy nilikuwa nazitwanga
Sema hapo nilika lupango wiki 3... Mafia yte nkaichukiaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila, nawamiss watu wangu wa jibondo
Ova
Mi hapana kwakweli pamoja na whale shark kuwa na sifa ya upole. Bora nicheze na Simba kwenye cage niliyethibitishiwa hana madhara lakini si kiumbe cha baharini pamoja na kuona watu wakiwa karibu nao na kupiga picha nao.nataka kuja kucheza na papa huko,siku moja nitakuja tu nikipata pesa
Kwani hapo kwenu Iyunga hakuna ushirikina?Kuna ushirikina huko balaa,hata ukiwa na shida na mwanamke hupati labda utoke nae Dar
Hahaha akaone warembo Corner bar😂😂😂jamaa kasema ukatalii sio ukaone warembo
Kama unataka warembo nenda corner bar sinza