Nyumbani ni nyumbani, karibuni Mafia

Nyumbani ni nyumbani, karibuni Mafia

Mafia pako poa sana, and I really miss those old days! Tena ndo vile nilikuwa na ushikaji na watu wa Marine Park, kuna siku mshikaji mmoja akanipa offer ya kwenda kufanya boating kwa kutumia boats zenye kioo kwa chini!

It's a very amazing experience!
Wooow.. You really enjoyed aisee.. Namiss beach za huko na samaki

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Nimekaa huko miaka 6 mkuu.
Nimekumbuka sana utulivu wa mazingira, ukimya na amani bila kusahau bahari na samaki wa bei ya kushangaza, watu wakarimu sana.

Huku Dar ni kelele, fujo na tabia za ajabuajabu ndo zimejaa pia mazingira ya hovyo sana full vumbi.

Nitakuja kutembea tena huko mkuu.
 
Wooow.. You really enjoyed aisee.. Namiss beach za huko na samaki

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
OH LORD... samaki! Samaki! Samaki!!

I don't understand what's wrong with samaki!!

Unajua kwenye ajira yangu ya kwanza nakumbuka kuwatolea macho kuku wa kienyeji, utadhani nilikuwa na ugomvi nao. Guess what; within 2 weeks nilikuwa sipendi hata kusikia kitu kinachoitwa kuku coz' walinikifu kupita maelezo manake niliwafanya ni dozi ya kutwa mara 3!!

Kinyume chake, wakati nipo Mafia, naweza kula samaki mwaka mzima mfululizo na bado nisikinai! Sijui ni kwavile kuna variiets kibao za samaki ndo maana hawakinaishi!
 
Dah...Kuna some places nzuri hata Kama una stress zinakata kabisa!kwakweli dah😋😋😋😋!
Dilek njoo hapa...
Kuna stress zikikuniga hata ungepelekwa Brunei hazibanduki.....tuombe neema jameni hasa pesa ya kutosha mfukoni afya njema kwako na kwa familia na ndugu zako wa karibu bila kusahau marafiki...
hapo ukienda huko Mafia bata batani saafi
 
Nmekaa sana jibondo kisiwani hpo
Bata nlikuwa nakula hapo kinasi Beach... Bia ndy nilikuwa nazitwanga
Sema hapo nilika lupango wiki 3... Mafia yte nkaichukiaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila, nawamiss watu wangu wa jibondo

Ova


🤣🤣🤣🤣Yaani Hadi huko ulishaharibu?😀😀nishajua chanzo ni Nini!🤣🤣🤣🤸🤸🤸
 
nataka kuja kucheza na papa huko,siku moja nitakuja tu nikipata pesa
Mi hapana kwakweli pamoja na whale shark kuwa na sifa ya upole. Bora nicheze na Simba kwenye cage niliyethibitishiwa hana madhara lakini si kiumbe cha baharini pamoja na kuona watu wakiwa karibu nao na kupiga picha nao.
I have the feelings of unsafety in the deep water
 
Back
Top Bottom