Nyumbani ni nyumbani, karibuni Mafia

Nyumbani ni nyumbani, karibuni Mafia

Nmekaa sana jibondo kisiwani hpo
Bata nlikuwa nakula hapo kinasi Beach... Bia ndy nilikuwa nazitwanga
Sema hapo nilika lupango wiki 3... Mafia yte nkaichukiaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila, nawamiss watu wangu wa jibondo

Ova
😃😂😃mkuu hebu tupe mbili tatu ilikuaje ukaingia mikononi mwa mamwera
 
OH LORD... samaki! Samaki! Samaki!!

I don't understand what's wrong with samaki!!

Unajua kwenye ajira yangu ya kwanza nakumbuka kuwatolea macho kuku wa kienyeji, utadhani nilikuwa na ugomvi nao. Guess what; within 2 weeks nilikuwa sipendi hata kusikia kitu kinachoitwa kuku coz' walinikifu kupita maelezo manake niliwafanya ni dozi ya kutwa mara 3!!

Kinyume chake, wakati nipo Mafia, naweza kula samaki mwaka mzima mfululizo na bado nisikinai! Sijui ni kwavile kuna variiets kibao za samaki ndo maana hawakinaishi!
Hahhaaha.. Nilikaa huko miaka mitatu ajabu nyama ya ngombe nikawa siipendi tena....

Kwa jinsi walivyo fresh na varieties huwezi kinai aisee

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
[emoji2][emoji23][emoji2]mkuu hebu tupe mbili tatu ilikuaje ukaingia mikononi mwa mamwera
Nilikuwa nakusanya jongoo bahari
Na jongoo wkt ule ilikuwa haina vibali
Nliingia mafia kwa speed kubwa ya kazi
Kidume nna boti faiba 2 na engen yendura hp 15 zko 2....nlikuwa nawasumbua sana askari wa Doris hko
Sema kituo changu kilikuwa jibondo, jibondo mwenyew nilipabatiza Jina Jamaica, hko hakuna kwere wkt ule huko serikali haifiki mnafanya lolote
Basi Kaz kaz, Kuna askari mmoja wa doria anaitwa abdala kifua alikuwa maarufu huko na mbabe
Ila mziki huu alizima fegi.... Nlikamiwa sana
Sema nlikuwa Naishi double impact [emoji23][emoji23][emoji23]
Huwez nipata kiboya
Za mwiz arobaini nkanasa kwenye operation ilifanyika hko hyo mpaka jeshi navy Ndani ndy tukangolewaaa.... Nkasota wiiki 3 ndan hko
Nkafanya michezo kesi ikahamishiwa dar nkachomokaa
Ila niilipoteza kila kitu ilaa freshhhhh.... Maisha yaliendeleaaa

Ova
 
Mafia pako poa sana, and I really miss those old days! Tena ndo vile nilikuwa na ushikaji na watu wa Marine Park, kuna siku mshikaji mmoja akanipa offer ya kwenda kufanya boating kwa kutumia boats zenye kioo kwa chini!

It's a very amazing experience!
Fanya mchakato wa boti za marine twende.
 
Back
Top Bottom