Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Huko Mafia kumbe hakuna vibamiandio maana nimekwambia utalii unaotaka wewe ufuate pale corner bar sinza!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko Mafia kumbe hakuna vibamiandio maana nimekwambia utalii unaotaka wewe ufuate pale corner bar sinza!!
Uvuvi haramuuu
Alafu nlikuwa most wanted[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Hahaha ndy dunia hii haiwezi kutuliaUshapambana na mbanga za hatari
Sana Kuna wakati tuliendaga Lamu, Kenya na mchina wangu mmoja yeye alikuwa na ofisi Kino hombos kule, tulikaa kama wiki 3 ah akaniambia Sasaila mishe za baharini ukiziotea zina mpunga mrefu sana
Sema m na jeuri yote siziwezi sababu mi na maji ni paka na panya
Hahaha ndy dunia hii haiwezi kutulia
Ova
Nimepanda boss acha kbsUshawahi kupanda jahazi lkn
Ova
Sana Kuna wakati tuliendaga Lamu, Kenya na mchina wangu mmja yeye alikuwa na ofisi Kino hombos kule, tulikaa kama wiki 3 ah akaniambia Sasa
Unaonaje twende tu somalia..... Maana hko kna Mapezi mengi ya papa.... Dah nkamwambia hko tukienda haturudi..... Haya Maisha acha tu kma sinema tu
Ova
Hakuna pesa wala hakunaga jambo jepesiAfu watoto wanajua pesa inapatikana kihalali
Hahahaha nauli Bure ila malipo yake sasaNimepanda boss acha kbs
Noma Sana .Hahahaha nauli Bure ila malipo yake sasa
Ova
Nmekaa paleUmeongea habari za Lamu...Kuna mchiz anasafuru usk mzima kwa kutumia boat hizi za kilocal kwenda Lamu..ana helaaa ..Ila ndo biashara fulani ..niliogopa mie. .
Hahhaahaa...Kuna Papa maji na Papa mtu😋😋!Kuna papa na papa mkuu? Sijui mwenzetu ataka kuchezea papa gani
We mbishi nawe dah [emoji23][emoji23][emoji23]Noma Sana .
Nmekaa pale
Napajua vzr sana
Jamaa lazima awe na hela
Ova
Hahaha nenda tuSema huyu chiz wenu anajifanya kubanaaa ...subiri utanisikia siku moja Lamu[emoji38][emoji38]..hofu yangu kusafiri usk mzima dah[emoji119]! Sema mishe sio toxic.
Huyu ni noma..nahis ana kismat pia...anamatajiri wengi wanamuamini Sana..sema mtunduuuuu😆😆🙌Mrangi kumbe wewe mpambanaji?
Pole bna
As long upo hai utarudisha mara mia